Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Student viza ndio mchongo wa work permit UK.

UK Wanaigeria ndio wamekata network ya papers za vyuo wana vyuo vyao vya kutakatisha ukaazi wako bila kusoma chuoni.
kama nimekuelewa vizuri ni kwamba you need to fake/forge documents to get somewhere.... kama ndo hivo dah m nataka student visa ya germany nkasome bure. nipe tecnique ya kubypass ile condition ya kwamba you need to deposit euro 8000 in a blocked account ili upate hiyo student visa
 
8,000 EUROs??????
 
Tafuta mzungu mimi nipo [emoji629] Germany hawakuniomba hiyo Euro 8000 labda tuseme mungu ni Muweza wa yote
 
Kuna kipindi Lincoln college UK walikuwa wanatowa admission letter bila kulipa chochote, ukichukuwa viza ukiwa kule ndio unamantain status kama upo chuoni na unafaulishwa mitihano kama unavyoona hapa kwetu jaya Nchimbi ni Dr na Nape ana masters ya Mzumbe akili kichwani mwako.

Sina uhakika why German wanataka hoyo Euro 8000? Change status ingia kivingine hata kwa holiday viza.

Kama una akili timamu jiulize ni kwa nini UK wanatumia Viza yao peke yao na hawapo kwenye sheghen viza?
 
Tafuta mzungu mimi nipo [emoji629] Germany hawakuniomba hiyo Euro 8000 labda tuseme mungu ni Muweza wa yote
nipe more details natafuta mzungu halafu ndo anakuwa sponsor au inakuwaje we ulifanyaaje mkuu tupe more details
 
Mimi ni muhenga wa miaka 45 lkn kamwili kangu kama kama ka mh mnyika au mh msukuma au zito kabwe hv..vp naweza kupata scholarship au visa yeyote ya ulaya mm shida yangu nifike ulaya kutembea tu
 
Hao uliojifananisha nao wote wana pesa, na wewe kama unazo hakuna shida December nakwenda Switzerland nicheck nikuunganishe tuzame pamoja ubalozini hata mimi nakwenda kutembea na kurudi tu mwezi mmoja.

Anza quotation ya air ticket for december online, angalia, Ethiopia airline, Turkish, Emirates na Qatar airways for the cheapest fare.
 
hizi sentensi ndo ilikuwa inanipa utata
Before you begin your studies, you will have to prove that you have enough money to support yourself. The document you need is called a “Finanzierungsnachweis”, or proof of financial resources. You are asked for it when you apply for an entry visa. At the latest, you will need to present it when you apply for a residence permit in Germany. In most cases, applicants have to prove that they have around 8,700 euros at their disposal for one year

ila baadae ndo nkakutana na hizi hints kumbe unaweza mtumia raia wa kule au permanent resident aka wahakikishia kwamba atacover scholl expenses zote
There are a number of ways to show that you can finance your studies. The following forms of proof are possible:
  • Your parents can submit documents certifying their income and financial assets.
  • Someone with permanent residence in Germany can guarantee the Alien Registration Office to cover your expenses.
  • A security payment can be deposited into a blocked account.
  • You can present a bank guarantee.
  • You can present a scholarship award notification from a recognised scholarship provider.
Make sure to inquire at the German embassy in your country as to which form of financial proof is required!
 
Binafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,

Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.

Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao

HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
Nchi haitoi ajira? Huko wanatoa ajira?

Unazungumzia cheti cha kuzaliwa kinachotolewa kwa nusu saa?

Vijana wa upande wa pili Bhange zitawamaliza
 
hizi sentensi ndo ilikuwa inanipa utata
Before you begin your studies, you will have to prove that you have enough money to support yourself. The document you need is called a “Finanzierungsnachweis”, or proof of financial resources. You are asked for it when you apply for an entry visa. At the latest, you will need to present it when you apply for a residence permit in Germany. In most cases, applicants have to prove that they have around 8,700 euros at their disposal for one year

ila baadae ndo nkakutana na hizi hints kumbe unaweza mtumia raia wa kule au permanent resident aka wahakikishia kwamba atacover scholl expenses zote
There are a number of ways to show that you can finance your studies. The following forms of proof are possible:
  • Your parents can submit documents certifying their income and financial assets.
  • Someone with permanent residence in Germany can guarantee the Alien Registration Office to cover your expenses.
  • A security payment can be deposited into a blocked account.
  • You can present a bank guarantee.
  • You can present a scholarship award notification from a recognised scholarship provider.
Make sure to inquire at the German embassy in your country as to which form of financial proof is required!
Sasa umeshaelewa vyema?

Hapa ndipo unapoambiwa ukitaka safari inabidi uwe na kamtaji ili magwiji wakutengezee documents zote genuine na siyo za kufoji, unaweza kudhaminiwa kama mfanyakazi wa kampuni fulani, hiyo kampuni ndio inakusomesha na inatowa bank statement na gurentee, huwezi kusaidiwa documentation hizi bure. Ndio sababu wale mnaowaita mafala ndio wanatusuwa ulaya na wajanja wanasota Bongo au kwenda kuruka senyenge za Mkaburu. Mafala wanatowa pesa na wanafanikiwa.
 
Yeah mkuu kuna matumizi but huwezi linganisha na bongo... Kikubwa kujipanga na kujua nini unafanya... Mfano kazi nyingi za kijungujiko kule US zinaweza kukufanya u save mpaka $2000 after bills.... Na hii ni kwa miaka hii... Nakumbuka nyakati zile ulikua na uwezo wa kusave zaidi coz kulikua na favor nyingi tofauti na sasa!

Ila kwa wataobahatika kwenda Scandinavian countries kule maisha ndiyo simple sana na kutoboa ni rahisi zaidi shauri ya ubure ktk huduma nyingi tu....
Mnadanganyana
 
Hao uliojifananisha nao wote wana pesa, na wewe kama unazo hakuna shida December nakwenda Switzerland nicheck nikuunganishe tuzame pamoja ubalozini hata mimi nakwenda kutembea na kurudi tu mwezi mmoja.

Anza quotation ya air ticket for december online, angalia, Ethiopia airline, Turkish, Emirates na Qatar airways for the cheapest fare.
Asante sn mkuu
 
Sasa umeshaelewa vyema?

Hapa ndipo unapoambiwa ukitaka safari inabidi uwe na kamtaji ili magwiji wakutengezee documents zote genuine na siyo za kufoji, unaweza kudhaminiwa kama mfanyakazi wa kampuni fulani, hiyo kampuni ndio inakusomesha na inatowa bank statement na gurentee, huwezi kusaidiwa documentation hizi bure. Ndio sababu wale mnaowaita mafala ndio wanatusuwa ulaya na wajanja wanasota Bongo au kwenda kuruka senyenge za Mkaburu. Mafala wanatowa pesa na wanafanikiwa.

Haha kinachoendelea kwenye hii game wabongo wengi hawakijui. Cha ajabu hao wanaoona ubahili kulipa hao agents ndo hao hao wanaochezea Pesa bar/mtaani kutafuta heshima.
 
Back
Top Bottom