Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

Chief mbn miez minne ni muda mchache
Nshawah pitia scenario kama hyo yako.....nliend kupoteza pesa....my target was nikuze mtaj unfortunately mambo yakaenda kombo.....nkajifunzaga since then
Anyway ni ushaur tu dogo
 
je kwa huo mtaji wake itatosha kweli
 
je kwa huo mtaji wake itatosha kweli

Kwa mtaji huo 2M iwe nje ya kodi ya frem/kibanda na lain na makorokoro mengne tosha sana kuanzia kikubwa location tu iwe imechangamgamka

Vingnevyo kwa biashara ya uwakala hyo capital ya 2M si ajabu akapata kamishen ya chin ya laki 2 kwa lain zote location ikiwa mbovu.niaminin mm!

Lkn kwa upande mwnigne naweza nisztaje ila kuna biashara nying ndgo ndgo za mtaji wa chin ya 500,0000 na ukapata .zaid ya 20k kwa siku…

tatizo vijana ikiwemo mm tunapenda biashara smart,za hadhi/elimu zetu,zisizo cha kuchafuka,biashara ya kusifiwa n kaz nzur ila ukwel n kuwa wapo wauza matunda njian,wachoma mishkaki,wachoma maind wanakunja zaid ya 20k dairly ilihali tulio kwenye frem tunastruggle kizchiz

Hizi biashara za kwnye mafrem tunajitahd tu lkn running cost n nying na bado TRA na municpal hawajapta kukagua leseni
 
Chief mbn miez minne ni muda mchache
Nshawah pitia scenario kama hyo yako.....nliend kupoteza pesa....my target was nikuze mtaj unfortunately mambo yakaenda kombo.....nkajifunzaga since then
Anyway ni ushaur tu dogo
Shukran mkuu
 
Mkuu sijasema nachagua Kaz ila nilikuja kupata mawazo kwa wazoefu nipe mawazo mkuu
 
Anzisha mradi simple wa supu ya kuku kienyeji na mbuzi hiyo unapiga usubuhi na jion,,, hrf mchana unapiga ugari pande nyama choma vzr miksa mbwembwe zote vionjo! Mzeee ? Ukifanikiwa Hilo utakimbia pesa mwenyewe,, Kila siku watu wanakula ,,boresha biashara Kwa ubunifu wa Hali ya juu! Ishu ya pili ukipata eneo ambalo ni kitaa kilichochangamka anzisha jiko zuri Kwa usafi wa Hali ya juu hapo unapika mboga mboga aina tofaut kwa mitindo tofaut au Kwa oda ya mteja,,, wamama wengi sas hiv wavivu vijana kibao utapiga pesa! Idea nyingi tunakosa mitaji na sapot
 
Yani biashara ya uwakala kwa mtaji wa 2M kisha kwa kuanza tu aanze na mtu anaelipwa mshahara 300k, kwa revenue gani? Labda kama wewe ndio uwe mnufaika wa hiyo biashara, sio yeye.
 
Mtaji kiasi gani utafaa ili wewe ujilipe 300k na tulipe kodi ya pango na mimi mwenye mtaji nipate faida isiyopungua 300k
Kaka Ukitaka uhakika kabisa we Weka M3 kama ipo hiyo Pesa Unaipata Niamini mimi. Na hapo inakuwa bado haijachanganya bro, ikichanganya utapata hela nzuri sana
 
Miamala hewa inakuwaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…