Ushauri: Mbowe, Jumapili ya kwanza baada ya kutoka Mahabusu/Jela, itumie kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako

Mzee wa Upako sijui kapatwa na nini, au ndio upako wenyewe? anafyatuka hatari.
Kwa sababu mwendazake alikuwa wa dini yake, na huyu sio wa dini yake ana hasira za UDINI
 
Bila shaka unajiita mcatholic hujui hata mtaguso wa kwanza wala wa pili wa kanisa lako.
Wewe sio owner wa ucatholic huwezi nizuia kuwachallenge viongozi wa catholic.
Uwezo mdogo ulionao ndio umesababisha umeshindwa kuona mapungufu ya viongozi wako.
Swali kwanini walitumia nguvu kubwa kumnanga Magufuli kwenye haki na demokrasia
ila sasa wametulia?
Hilo swali sijakuuliza wewe na waulizia waliokushikia akili ambao ni viongozi wako.
 
Rubbish tupu.
 
Mbowe kwenda kanisani kwa Mzee wa upako kwa sababu ya kutoa shukran
Ni hatar sana kwa aina hii ya ukristo

Tunakwenda kanisani ili kumuabudu Bwana na kumjua Mungu wa kweli

Na siyo tunakwenda kanisani kwa ajili ya Mtu unamuweka Mungu pembeni
 
Inept
 
Siioni siku hiyo mbona mkuu- nimeitafuta sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…