Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu mwendazake alikuwa wa dini yake, na huyu sio wa dini yake ana hasira za UDINIMzee wa Upako sijui kapatwa na nini, au ndio upako wenyewe? anafyatuka hatari.
Bila shaka unajiita mcatholic hujui hata mtaguso wa kwanza wala wa pili wa kanisa lako.Hivi unasoma na kuelewa nilicho kuandikia au unafanyaje?si wewe ndio ulisema mimi nitakua mkatoliki kuonyesha huna uhakika na imani yangu? kwanza nikakujibu katika sentensi ya kwanza tuu ili ufahamu mimi ni nani!
Inaonyesha naongea na punguwani kabisa...soma nilioandika na uelewe, kama umeelewa na ujajibu majibu haya basi unauwezo mdogo mno wa akili.
Rubbish tupu.Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo.
Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili ya kwanza baada tu ya wewe kutoka jela(kama watakufunga na kukupa msamaha wa Raisi) au kama watakufutia kesi, uitumie siku hiyo kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako.
Mbali na kushiriki Ibada, ikiwezekana wakupe nafasi siku hiyo usimame madhabahuni na utoe neno kwa waumini na kwa watanzania wote kwa ujumla.
Wewe kama seasoned politician, sihitaji kukushauri nini cha kusema siku hiyo, bali nakuachia mwenyewe na zaidi nakuombea uzima na afya njema.
Mbowe sio gaidi.
IneptBila shaka unajiita mcatholic hujui hata mtaguso wa kwanza wala wa pili wa kanisa lako.
Wewe sio owner wa ucatholic huwezi nizuia kuwachallenge viongozi wa catholic.
Uwezo mdogo ulionao ndio umesababisha umeshindwa kuona mapungufu ya viongozi wako.
Swali kwanini walitumia nguvu kubwa kumnanga Magufuli kwenye haki na demokrasia
ila sasa wametulia?
Hilo swali sijakuuliza wewe na waulizia waliokushikia akili ambao ni viongozi wako.
Waulize bavichaHayo maombi ya msamaha yameishia wapi?
mfia dini.Inept
Hata Shoo hatoi uzito unao stahili kama kwa mwendazake
Nilidhani waliopanga kuwe na maombi ya mtu kusamehewa ndiyo wana majibu ya hiyo plan ilipokwamia?Waulize bavicha
Fanyia kazi yote niliokuandikia yasome uyaelewe yatakusaidia....Merry Christmas ndugumfia dini.
Huwa sifanyii kazi maandishi ya wafia dini...Fanyia kazi yote niliokuandikia yasome uyaelewe yatakusaidia....Merry Christmas ndugu
Siioni siku hiyo mbona mkuu- nimeitafuta sana.Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo.
Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili ya kwanza baada tu ya wewe kutoka jela(kama watakufunga na kukupa msamaha wa Raisi) au kama watakufutia kesi, uitumie siku hiyo kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako.
Mbali na kushiriki Ibada, ikiwezekana wakupe nafasi siku hiyo usimame madhabahuni na utoe neno kwa waumini na kwa watanzania wote kwa ujumla.
Wewe kama seasoned politician, sihitaji kukushauri nini cha kusema siku hiyo, bali nakuachia mwenyewe na zaidi nakuombea uzima na afya njema.
Mbowe sio gaidi.
Aibuu!!!Mpaka kesi iishe na mapingamizi ni miaka 2. Hukumu ikitoka rufaa (upande wowote utakaoshindwa) mwaka mwingine mmoja. Uchaguzi 2025 huooo!
Bado tu huioni?Siioni siku hiyo mbona mkuu- nimeitafuta sana.