Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni wasifutwe ubunge mahakama inaweza ila kama kuwarudishia uanachama wa CHADEMA wamechelewa.Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Kama ni wasifutwe ubunge mahakama inaweza ila kama kuwarudishia uanachama wa CHADEMA wamechelewa.
Walipaswa kuzuia baraza kuu lisijadili uanachama wao.
Sasa katiba yao inawapa mamlaka Baraza kuu kuwafukuza uanachama, na very unfortunate walowapa ubunge hawapo na wengine wamekatwa mikia.
NIGUSE UNUKE
Limewafanyia uhuni UPI?Baraza kuu ndio lishitakiwe kwa kuwafanyia "uhuni".
Huwezi kufungua shauri mahakamani kama huna sababu za msingi, je hawakusikilizwa? Je Quorum haikutimia? je katiba na kanuni za chama hazikufuatwa? Kama ni hasira za kufukuzwa zinamuongoza kwenda mahakamani atashindwa mapema sana.Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Huo uhuni akaueleze tena kwa evidence sio maneno matupu, ukizingatia kura zilikuwa za wazi.Baraza kuu ndio lishitakiwe kwa kuwafanyia "uhuni".
Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Wanashtaki Kama akina Nani? Maana sio wanachama.Baraza kuu ndio lishitakiwe kwa kuwafanyia "uhuni".
Wanashtaki Kama akina Nani? Maana sio wanachama.
Nyani Katema Bungo Halafu Siyo Msimu Wa MaembeNdo basi tena...
Waliosimamia hii shoo haramu aidha hawapo au hawana nguvu Kwa sasa..Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Tatizo serikali haifuati sheria..tangu lini wameanza?Ndugu wanajukwaa,
Awali niwapongeze CHADEMA kuruka kiunzi hiki, Maamuzi yeyote kinyume na haya yasingeeleweka kwa Wanachama.
Nikirejea kwenye mada, Kumekuwa na mijadala mingi ya namna kina Mdee na wenzake wanavyoweza kusalia bungeni. Katika mijadala hii tegemeo pekee linaloonekana ni kwa kutumia mahakama.
Ikiwa watafungua shauri mahakamani, na kama inavyoonekana kwamba waligushi saini ya Katibu mkuu Mnyika na kwamba Katibu hakuwahi kupeleka majina Time,na kama haitoshi CHADEMA wamewahi kuiandikia Tume ya uchaguzi kukanusha wao kuwateua hao wabunge, Basi jambo hilo litakuwa kutafuta kuona nyeti za kuku.
Wakienda mahakamani itabidi waseme jinsi walivyoteuliwa, Jambo hili mahakamani litamuhusisha Katibu mkuu wa CHADEMA, Watu wa Tume ya Uchaguzi.