Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

Kama ni wasifutwe ubunge mahakama inaweza ila kama kuwarudishia uanachama wa CHADEMA wamechelewa.
Walipaswa kuzuia baraza kuu lisijadili uanachama wao.
Sasa katiba yao inawapa mamlaka Baraza kuu kuwafukuza uanachama, na very unfortunate walowapa ubunge hawapo na wengine wamekatwa mikia.

NIGUSE UNUKE
Amesahau kuwa hao wabunge walipewa nafasi ya kukata rufaa
 
Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Acha upumbavu, weka hapa hizi documents ulizoziorodhesha hapo juu,watu kama wewe ndio mna dilute JF ,shame on you
 
Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Sawa, wanaweza kutumia mahakama za CCM kubakia Bungeni who cares anyway - ila ndani ya CDM ndiyo baba jeni bye bye.
 
Tume na bunge hawajawafukiza uanachama
Wanachoenda kushtaki ni kupinga kufukuzwa uanachama kinyume cha sheria na katiba ya Chadema

Wamefoji matokeo ya kura hadi wakajisahahu kanda nne hazipo kwenye matokeo yaliyotangazwa!!! Huo ni uhuni

CHADEMA wamewakataa watafute chama kingine basi.
 
Kama ni wasifutwe ubunge mahakama inaweza ila kama kuwarudishia uanachama wa CHADEMA wamechelewa.
Walipaswa kuzuia baraza kuu lisijadili uanachama wao.
Sasa katiba yao inawapa mamlaka Baraza kuu kuwafukuza uanachama, na very unfortunate walowapa ubunge hawapo na wengine wamekatwa mikia.

NIGUSE UNUKE
Mkuu kumbuka hii ilikua rufaa baada ya awali kufukuzwa Sasa wangeendaje mahakamani Tena kuzuia Baraza lisijadili rufaa Yao?
 
Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Umejuaje mkuu kama walipewa barua na Chadema? Chadema walikana kufanya hivyo since day one, ushahid wao pia walizungumzia issue ya Husna aliyekua magereza; so na wewe kwa akili yako unaamini kwamba Chadema wangeweza ku influence Husna atolewe magereza, tena USIKU!? Tutumie ubongo kufikiri, hivi viungo vingine tuviache vifanye kazi yao na ubongo pia ufanye kazi yake!
 
Kabla ya kuandika shirikisha kidogo ubongo wako

wao hawaendi Mahakamani kupinga kufukuzwa ubunge bali wanakwenda mahakamani kupinga utaratibu uliotumika kufukuzwa uanachama

kwa hivyo mambo ya ubunge au tume hayatahusika.

mahakama itajikita ktk hoja ya msingi kwamba Je; CHADEMA imezingatia utaratibu wa kuwafukuza uanachama?

Wewe ndio unakosea, Baraza kuu lilikuwa alijadili uanachama wao bali lilikuwa linapitia Rufaa yao na kuamua kubariki maamuzi ya Kamati Kuu.
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.

Hao ni wasaliti wabaya. Katika kipindi kigumu uchaguzi umechafuliwa wao wakaungana na wachafuzi na kukitupa chama pembeni. Leo wachafuzi hawapo wamebaki na aibu.
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Ubora wa mwanasiasa ni kuwa muadilifu. Nazidi kutilia mashaka maandiko yako kama unashabikia wanasiasa wasio waadilifu na kuwaita asset bora ya kisiasa. Mwanasiasa anayeweza kulaghaiwa na kuikana itikadi yake na ya chama chake unamuita asset! Kwelinimeamini mtu kadri anavyozeeka na akili yake huzeeka.
 
Hawa waliteliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CDM, na wakaapishwa, waende mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
Umekuwa mjinga wa daraja ya juu. Mahakama haina uwezo wa kishetia au kikatiba wa kulizuia bunge kutekeleza jambo lolote lililo chini ya mamlaka yake.
 
Kwa katiba ya chadema mwanachama hatakiwi peleka shauri mahakaman kuhusu maamuz ya chama , ukifanya hivyo unapoteza uanachama

Either way haiwasaidii kitu
Aisee hii imekaa kitaalamu sana, ukisimama nchale, ukichuchumaa nchale
 
Wanasiasa Malaya Malaya...Wanaogushi Nyaraka na kununulika kusaliti Chama Chao..wanawezaje kuwa Good Assets!???

Wamepata wanachostahili....
Ukiona mtu anatetea Malaya Malaya wa kisiasa ujue hata yeye ni Malaya. Huyo Pascal hajitambui ni njaa kali inamla. Anafikiri kwa kutumia Makalio akizani Watanzania bado wajinga Kama yeye na hao vibaraka wao Covid19.

Kama hao akina Mdee waliteuliwa kihalali walishindwa nini kuleta ushahidi wao Mbele ya Kamati kuu walipo itwa awali au ktk Baraza kuu la Chama lililo keti Jana? Wao si walikata rufaa Sasa hizo rufaa si huwa unaweka na sababu na ushahidi?
Kwa nini walihudhuria kikao Cha Baraza kuu huku wakijua kuwa ni kikao Cha Wahuni na maamuzi yangekuwa ya kihuni?
Pascal umepitwa na wakati huu sio wakati wenu tena pumzika umesha zeeka hizo siasa za Karne ya 15 usituletee wakati huu.
 
Back
Top Bottom