RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
-
- #21
Maana 2016 kila mtu akikosea alikua anasema anamkwamisha kufikia nchi ya viwanda. Kwenye huu uchaguzi hazungumzii kabisa nchi ya viwanda alivyoifanikisha.Ndio anataka mgombea wake aseme kwenye kampeni!Amefanikishaje sera yake ya Tanzania ya viwanda?Maana hazungumzi kabisa!
Yaani simsikii kabisa akitamka hata kwa bahati mbaya kuwa anataka nchi ya viwanda.Hawezi kusema ladba aseme ndani ya mkutano wa chama.
Kwahio viwanda kwa 2015/2020 ilikuwa niaahadi hewa?Amegundua kuwa ili ajenge viwanda lazima aanze na miundo wezeshi kwanza so ameamua kumaliza miundo mbinu wezeshi ikiwemo umeme (Stiegler's Gorge), Reli (sgr) na barabara.
Ndio ayaseme hayo!Amegundua kuwa ili ajenge viwanda lazima aanze na miundo wezeshi kwanza so ameamua kumaliza miundo mbinu wezeshi ikiwemo umeme(stieger's gorge),Reli(sgr) na barabara ndio aendelee na viwanda
Sio lazima uambiwe kila kitu. We huna macho na akili za kug'amua hayo?Sasa mkuu sindio mgombea wetu POMBE atueleze alivyofanikisha hayo, namna alivyoweza kuunganisha viwanda na ajira. Au nijukumu lanani kuelezea hayo wakati wakampeni?.
Viwanda katupa kule, sasa anapambana na ndege za mizigoYaani simsikii kabisa akitamka hata kwa bahati mbaya kuwa anataka nchi ya viwanda.
Ethiopia wana Ndege zaidi ya 110,bwawa kubwa la umeme afrika nzima,flyover za hatari pale Addis Ababa, Treni za umeme wanazo lkn waethiopia wanakamatwa daily kwny makontena huku bongo.Amegundua kuwa ili ajenge viwanda lazima aanze na miundo wezeshi kwanza so ameamua kumaliza miundo mbinu wezeshi ikiwemo umeme (stiegler's gorge), Reli (sgr) na barabara ndio aendelee na viwanda
Hajasema hatatoza kodi anasema ATAPUNGUZA KODI, tatizo watu hata mtu aongee vipi lkn bado tu hamuwezi kuelewa labda ndio maana kuna wanaovuta mkia darasani..!!Mkuu Pombe anaweza, kama anasema kwa kupotosha Lissu kasema eti hatotoza kodi wakimpa uraisi,anashindwaje kusema alipoifikisha Tz ya viwanda aliyotuahidi 2015.
Nini maana yakupiga kampeni? Silazima azungumzie mafanikio yake katika alivyoahidi? Mbona Ndege anaezungumzia, sgr, barabara sasa mimi naomba azungumzie na viwanda alivyoahidi.Sio lazima uambiwe kila kitu. We huna macho na akili za kug'amua hayo?
Mbona hujauliza mafanikio ya kudhibiti biashara ya madawa ya kulevya? Acha mihemuko.Nini maana yakupiga kampeni?. Silazima azungumzie mafanikio yake katika alivyoahidi?. Mbona Ndege anaezungumzia,sgr,barabara sasa mimi naomba azungumzie na viwanda alivyoahidi.
Nimeposema Pombe anapotosha hujaelewa kuwa mimi nimemuelewa Lissu lkn Pombe anapotosha, hebu rudia kusoma vizuri, isijekuwa nyie ndio mnasoma masuali halafu mnajibu kitu ambacho hakijazungumziwa.Hajasema hatatoza kodi anasema ATAPUNGUZA KODI, tatizo watu hata mtu aongee vipi lkn bado tu hamuwezi kuelewa labda ndio maana kuna wanaovuta mkia darasani..!!
Hio ya madawa yakulevya inatakiwa uulize wewe, mimi nimechagua kuuliza viwanda.Mbona hujauliza mafanikio ya kudhibiti biashara ya madawa ya kulevya? Acha mihemuko.
Watu hawaelewii mkuu.Ethiopia wana Ndege zaidi ya 110,Bwawa kubwa la umeme afrika nzima,flyover za hatari pale Addis Ababa,Treni za umeme wanazo lkn waethiopia wanakamatwa daily kwny makontena huku bongo.
Go figure.
Sio kila mafanikio uulize. Maadamu unajua kuna mafanikio we tuliza mzuka.Hio ya dawa yakulevya inatakiwa uulize wewe, mimi nimechagua kuuliza viwanda.
Natulizaje mzuka mkuu, wakati sera kuu ya 2015 ilikua Tz kuwa nchi ya viwanda, halafu 2020 hasemi kama tumeshakua nchi ya viwanda au bado.Sio kila mafanikio uulize. Maadamu unajua kuna mafanikio we tuliza mzuka.
Hiyo ni kampeni slogan,ndio maana Ccm imefanya makubwa kwa kila sekta sio viwanda tu. Kwa hiyo acha kukariri. Kwani kusema Tanzania ya viwanda ndio kusema kilimo na madini hamshughuliki nayo?Natulizaje mzuka mkuu, wakati sera kuu ya 2015 ilikua Tz kuwa nchi ya viwanda, halafu 2020 hasemi kama tumeshakua nchi ya viwanda au bado.
Itakuwa viwanda vya nyasi za kuezekea nyumbaNatulizaje mzuka mkuu, wakati sera kuu ya 2015 ilikua Tz kuwa nchi ya viwanda, halafu 2020 hasemi kama tumeshakua nchi ya viwanda au bado.