RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
-
- #41
Slogan ilikua "HAPA KAZI TU" lakini ndani yahapa kazi tu ndio palikuwepo Tz ya viwanda,madawa yakulevya na kadhalika, sasa mimi nimeanza kuulizia viwanda,nawewe unaweza ulizia unavyotaka mkuu.Hiyo ni kampeni slogan,ndio maana Ccm imefanya makubwa kwa kila sekta sio viwanda tu. Kwa hiyo acha kukariri. Kwani kusema Tanzania ya viwanda ndio kusema kilimo na madini hamshughuliki nayo?
Unaulizia huvioni? Au mpaka usikie JPM anatamka?Slogan ilikua "HAPA KAZI TU" lakini ndani yahapa kazi tu ndio palikuwepo Tz ya viwanda,madawa yakulevya na kadhalika, sasa mimi nimeanza kuulizia viwanda,nawewe unaweza ulizia unavyotaka mkuu.
Viko wapi mkuu, mimi niko huku kwetu nanjilinj sijaona kiwandaUnaulizia huvioni? Au mpaka usikie JPM anatamka?
Pole sana.Viko wapi mkuu, mimi niko huku kwetu nanjilinj sijaona kiwandan
Sasa unafanya nini? Wakati wenzako wanaviwanda vya kukamua pombe ya mabibo (ulaka) we umekalisha makalio tu?Viko wapi mkuu, mimi niko huku kwetu nanjilinj sijaona kiwanda
Mnatia huruma kwakweli! yaani agenda kuu ya ilani 2015 kutozungumzwa kabisa kwako ni suala la kawaida?Sio lazima uambiwe kila kitu. We huna macho na akili za kug'amua hayo?
Unaijua TANELEC wewe?Acha kuwa na akili zilizoganda. Ulifikiri kuwa nchi ya viwanda ndio serikali ijenge kiwanda kila kata. Hii ni sera endelevu ambapo wawekezaji wanaopewa kipaumbele na mazingira rafiki ili wajenge viwanda. Hapo zamani Tanesco walikuwa wanaagiza mita toka nje sasa hivi zinatengezwa hapa Tanzania. Huoni kuna mabadiliko?
Viwanda sio kama duka la kuuza omo la mangi jirani yako ni mchakato unaoendelea kila nchi.Viko wapi mkuu, mimi niko huku kwetu nanjilinj sijaona kiwanda
Mwandishi kwa nia njema kabisa anaomba mrejesho wewe unajibu upuuzi. UKADA sio kuwajibu watu vibaya.You have used your freedom to express your opinion, however, what you have written is nonsensical.
Viwanda vulivyoanzishwa utawala huu vimesaidia vipi kupunguza tatizo la ajira?.Mwafrika kalelewa kijamaa huwa ana zile akili za dezo.
Unapopelekwa shule maana yake ujiongeze wewe mwenyewe baadae, sio kila kitu ni cha kutafuniwa na wewe umeze tu.
Vijana wajanja wanatafuta fursa zao wenyewe kujiendeleza, hawasubiri ahadi za mwanasiasa ii baadae wapate cha kukejeli.
Ndege zina leta watalii, wale wenye kampuni za utalii wanajua madhara ya corona.
Huwezi ukaziponda ndege kipindi hiki cha maradhi ya kidunia, umuhimu wake utarudi tu baada ya maisha ya kawaida kurudi.
Mnayemtetea akipita humu jukwaani mwenyewe anacheka kwa kuona majitu yalivyoHiyo ni kampeni slogan,ndio maana Ccm imefanya makubwa kwa kila sekta sio viwanda tu. Kwa hiyo acha kukariri. Kwani kusema Tanzania ya viwanda ndio kusema kilimo na madini hamshughuliki nayo?
Kama aikchaguliwa tena atakua najumla ya miaka 10 tu yakutuongoza Watanzania. Je, kwa adhima yake unaona atafanikisha nchi yetu kuwa ya viwanda (kwa ujumla)?Viwanda sio kama duka la kuuza omo la mangi jirani yako ni mchakato unaoendelea kila nchi.
Na vitaongezeka kadri bandari zinavyopanuliwa, vitaongezeka kadri wasomi wanavyoingia katika soko la ajira.
Viwanda vina maana pana sana tofauti na ile ya jumla.
Nampigia kampeni mtukufu Jiwe ili arudi Ikulu.Sasa unafanya nini? Wakati wenzako wanaviwanda vya kukamua pombe ya mabibo (ulaka) we umekalisha makalio tu?
Mkuu Sandali unaongea kama mtoto aliyejilea mbali kabisa na wazazi wote wawili.Akivitaja viwanda 15 tu vikubwa vilivyojengwa katika awamu yake nitapiga punyeto mchana Kariakoo kweupe.
- Ataje mahali vilipo
- Bidhaa zinazozalishwa na
-Kiasi cha Bidhaa zinazozalishwa kwa siku.
Makosa yanafanyika, watu wanajitathimini na kujirekebisha. Hivi sasa tu free market economy sahau hayo ya zamani.Unaijua TANELEC wewe?
Unajua ilianzishwa lini?
Unajua ilikuwa inatengeneza nini?
Unajua nani aliiua?
Unajua General Tyre?
Unajua UFI?
Unajua Matsushista?
Hivyo viliuliwa na nani?
Je,akili ile ile iliyotengeneza tatizo,inaweza kweli kulitatua hilo tatizo?
Huna impact yoyote, anakubalika anajinadi mwenyewe.Nampigia kampeni mtukufu Jiwe ili arudi Ikulu.
Atueleze viwanda alivyoahidi viko wapi?.Huna impact yoyote, anakubalika anajinadi mwenyewe.