Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Bajeti kutotekelezwa kwa asilimia 50 sio kigezo cha kilimo kutopewa kipaumbele.Maisha halisi ya uzalishaji niyapi mkuu wakati sekta kuu yauzalishaji katika viwanda ni kilimo, nabajeti yakilimo kwa miaka minne iliyopita haijatekelezwa hata mwaka mmoja wa bajeti japo kwa asilimia 50.?.
Kwanza elimu niliyonayo haikusadii chochote, lengo la uchumi wakati ilikua ni atleast kila mwananchi awe na dola 3000 kwa mwaka(wastani), mwaka 2020 tumefikia $1080 kwa akili yako ndani yamiaka mitano iliyobaki unaona tutafikia lengo la wastani wa $3000 kwa mwaka kwa kila mwananchi?.Mh.. Kwani wewe mrembo umeishia la ngapi? Maana unaweza ukawa na smartphone kumbe mbumbumbu. Sera ni kitu endelevu, na ndio maana kuwa taifa la viwanda ni mpango mkakati wa kulifanya taifa lifikie uchumi wa kati 2025. Sio ishu ya miaka mitano tu. Pole sababu mnadanganywa na watsap group za pingapinga group.
Mkuu Tafadhari naomba uwe muwazi nauweke ukada pembeni, maana angalau wewe naona una substance kidogo ukilinganisha na Lumumba wengine, naomba unieleze ndani yamiaka mitano yamtuku niwapi mkulima kanufaika na kilimo, wakati vitu kama Korosho,pamba,ufuta, dengu,mpunga,katani,mahindi,maharage,choroko, bei zake zimeanguka nawakulima kila siku wanalia.
Kipaumbele chochote cha nchi hutafsiliwa kulingana na utekelezaji wa Budget, ndio maana unaona muheshimiwa kajitahid katika miundombinu na usafirishaji kwa sababu budget yake inatekelezwa kwa zaidi ya asilimia 200. Unataka tutafsiri vipi vipaumbele bila kuangalia utekelezaji wa Budget katika eneo husika?.Bajeti kutotekelezwa kwa asilimia 50 sio kigezo cha kilimo kutopewa kipaumbele.
Uzalishaji wa vitu mbalimbali, nguo, zana za kilimo na vitu vingi tu vinavyotengenezwa nchini.
Tubadili aina ya ufikiriaji wetu na kuwa watu chanya zaidi kuliko watu wa kuponda kila kitu.
Mkuu Lumumba sio dharau kama nimekudharau niuwie radhi, turudi katika mnakasha wetuWakulima wamekuwa wakilia tangu tupate uhuru hawajaanza kulia leo tena awamu hii angalau imeonyesha ushirikiano kwao.
Usitumie maneno ya dharau kama Lumumba mimi nimekuheshimu sijatumia kejeli kwa kukuita wewe Ufipa.
Waliahidi kuigeuza Kigoma iwe kama dubai sasa hivi sijui pakoje.
Zipo changamoto za kilimo za miaka na miaka. Masuala mengine ni ufisadi ukiokwamisha utekelezaji wa mipango.Kipaumbele chochote cha nchi hutafsiliwa kulingana na utekelezaji wa Budget, ndio maana unaona muheshimiwa kajitahid katika miundombinu na usafirishaji kwa sababu budget yake inatekelezwa kwa zaidi ya asilimia 200. Unataka tutafsiri vipi vipaumbele bila kuangalia utekelezaji wa Budget katika eneo husika?.
Kama tumeingia lower middle income economy mapema tutashindawa vipi hiyo upper. Maana tumevuka kabla ya muda.Kwanza elimu niliyonayo haikusadii chochote, lengo la uchumi wakati ilikua ni atleast kila mwananchi awe na dola 3000 kwa mwaka(wastani), mwaka 2020 tumefikia $1080 kwa akili yako ndani yamiaka mitano iliyobaki unaona tutafikia lengo la wastani wa $3000 kwa mwaka kwa kila mwananchi?.
Hoja ya kitoto sana hii kwa mwanza hata asiyesoma aweza kukujibuPia ningekushauri ujikite kwenye hoja mara nyingi, ueleze wananchi ni namna gani ndege 11 zilivyobadili uchumi wa mwananchi mmoja mmoja
Wewe ndio umekuja na issue ya uchumi wakati ambao kimsingi haureflect maisha halisi na vipato vya watanzania.Kama tumeingia lower middle income economy mapema tutashindawa vipi hiyo upper. Maana tumevuka kabla ya muda.
Na kwa nini unarukaruka mara viwanda mara uchumi wa kati. Tulia na uwaambie wenzako viwanda vipo.
Naona umekwepa hoja ya viwanda , vipi hizo ndege tutambua vipi kama zinaendeshwa kwa faida ili hayo yote uliyoyaorodhesha hapo yawe namantiki.Hoja ya kitoto sana hii kwa mwanza hata asiyesoma aweza kukujibu
Au nenda tu airport Dar kaangalie abiria watoka mwanza wanavyoshuka na samaki wa mwanza
Ndege zimepaisha soko la samaki kanda ziwa
Mandege kibao hubeba samaki kwa ajili ya soko la ndani na la nje
Mwanza wavuvi na wauza samaki wanafaidi sana kwa uwepo wa ndege
Pili kodi zinazopatikana kutokana na mauzo ya tiketi ndizo hizo zinaenda somesha watoto elimu bure,kutoka mikopo kwa akiba mama na vijana ya nk
Pia hizo kodi ndizo zinalipa mishahara ya wafanyakakazi wa serikali ambao hutumia Hiyo mishahara kutunza familia zao.Kila ununuapo tiketi ya ndege kuna kodi mle inayoenda kumlipa nduguyo aliyeko serikalini ambaye ukiwa hata na harusi hukuchangia kupitia mshahara aliolipwa kutokana na kodi iliyokusanywa kwa waliokata tiketi za ndege!!
Swali lako la kitoto sana
Nakula kona,kama takwimu za wizara ni uongo. Basi hakuna kiwanda hata kimoja kilichojengwa mdau.Wewe ndio umekuja na issue ya uchumi wakati ambao kimsingi haureflect maisha halisi na vipato vya watanzania.
Lengo niuchumi wakati wa wastan wa $3000 kwa mwaka kutoka 1995/2025 baada ya miaka 25 ndio tunafikia $1080 hata nusu yalengo haijafikiwa kisha unakuja kuzungukza habari za uchumi wakati.
Hivyo viwanda vimejengwa wapi?. Mimi nafanya kazi na viwanda vipivyokuwepo na viwanda vipya nashughuri zangu nikukagua baadhi ya operation za viwanda kiujumla mimi nimdau moja kwa moja waviwanda ,sasa unapookota taarifa fake zinazozungumzwa na mawaziri kumfurahisha mfalme nakushangaa.
Usiamini kila unachosema, ingekua viwanda vyote hivyo vimejengwa inamaana watanzania wengi wahitimu wengi wangepata ajira huko nakutoa kelele zaukoseu wa ajira kwa kiasi fulani, makampuni au viwanda visingepunguza wafanyakazi kama viwanda vingekua vinajengwa kwa wingi. Ulizia tu hapo SBL temeke kwa nini wamepunguza wafanyakazi nawale Top management wengi wamepumzishwa .Nakula kona,kama takwimu za wizara ni uongo. Basi hakuna kiwanda hata kimoja kilichojengwa mdau.
Faida ya ndege ya serikali ya kwanza ni kuinua uchumi wa mahali chukulia mfano mdogo tuchulie imepata hasara ya milioni moja lakini wafanyabiashara wa samaki waliouzia abiria wa ndege wamepata faida ya million 40 na wakalipa TRA kodi ya Milioni 6 huwezi sema shirika linaendeshwa kwa hasara!! Sababu bila kuwepo hao wafanyabiashara wasingekuwepo na TRA wasingekusanya million 6 ya kodi.Naona umekwepa hoja ya viwanda , vipi hizo ndege tutambua vipi kama zinaemdeshwa kwa faida ili hayo yote uliyoyaorodhesha hapo yawe namantiki.
Nikuamini wewe kama nani? Niache kuamini takwimu za serikali, mimi nina vijana ambao wanaweza kukuoa wewe na kukuzalisha. Wanafanya kazi Kibaha kuna viwanda kibao wachina wamevianzisha. Lakini sababu unaishi maisha ya ya mtandaoni endeleza huo ushabiki.Usiamini kila unachosema, ingekua viwanda vyote hivyo vimejengwa inamaana watanzania wengi wahitimu wengi wangepata ajira huko nakutoa kelele zaukosefubwa ajira kwa kiasi fulani, makampuni au viwanda visingepunguza wafanyakazi kama viwanda vingekua vinajengwa kwa wingi. Ulizia tu hapo SBL temeke kwa nini wamepunguza wafanyakazi nawale Top management wengi wamepumzishwa .
Nimekuuliza ndege zinaendeshwa kwa faida au kwa hasara naona tu unazunguka. Mwisho wamwaka wakikaa wakafanya tathimini ya mwaka mzima wanakuta wamepata faida katika majumuisho yao?.Faida ya ndege ya serikali ya kwanza ni kuinua uchumi wa mahali chukulia mfano mdogo tuchulie imepata hasara ya milioni moja lakini wafanyabiashara wa samaki waliouzia abiria wa ndege wamepata faida ya million 40 na wakalipa TRA kodi ya Milioni 6 huwezi sema shirika linaendeshwa kwa hasara!! Sababu bila kuwepo hao wafanyabiashara wasingekuwepo na TRA wasingekusanya million 6 ya kodi
Pili shirika la ndege kupima limepata faida kuangalia zaidi ni kiasi gani umekusanya kodi kupitia mauzo ya tiketi.Ndege za serikali ni kama ilivyo TRA .Ni chombo cha serikali cha kukusanya kodi kutoka kwa abiria kupitia Tiketi