USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

Wewe dini gani? Unaishi wapi? Utaanza kurejesha lini mkopo?
 
Wekeza gold+ 3 tu.ambayo kila wiki utalipwa dola 170×3=510×tshs 2200= hiyo ni kwa wiki zidisha kwa 4 mwezi .utakuwa na pesa kibao.
Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu hili ni bahati nasibu au ni biashara ya aina gani?
 
Anzisha biashara ya pombe sehemu ya watu kias flan

Then isimamie vyema Nakuhakikishia ndani ya miezi 6 mpaka 8 Utakua umerudisha hiyo 20mln kama Faida.
 

Kama fedha hizo zimekujia ghafla zihifadhi benki jipe muda wa kutafakari ujue cha kufanya,washauri wengi ni waigizaji wasiofanya chochote zaidi ya hadithi za kusimuliwa.Kama umekopa umefanya kosa kubwa.Hutakiwi kukopa kabla ya kujua na kutathmini unachotaka kufanya.
Ni mtaji mzuri kama una wazo zuri lakini ni chanzo cha maumivu makali kama hujui cha kufanya.Jipe muda wa kutosha kutafakari.
 
ndo nnachofanya kiongozi...lakini wanasema uoga wako ndio umasikini wako..nmeweka kwenye hili gropu na kujaribu kuchambua chuya na mchele...Pesa bado sijachukua ila nna uwezo hata mda huu labda nkuulize weye mkuu "KAMA UMEPATA LEO MILLION 20 UTAIFANYIA NN"
 

mkuu usiwadanganye wenzio bhana hakuna sehemu yenye viwanja ghali kama moshimna arusha ukikuta mtu arusha anakaa nyumban kwakwe huyu sio mtu mdogo Arusha mzuko wa hela ni mdogo alaf maisha yako juu sana ina fanya vitu vingine vinakuwa ghal mil 20 kwa maeneo ya kwa mrefu atapata kiwanja ila 20/20 sio zaid labda aende kwa mrombo ila ttz la kule ni mbal na mji
 
Ningeshauli uwekeze kwenye real estates hapa town hukosi ila kwa ela hyo bado mzee
 
Sasa mzee unaanzaje kuchukua mihela halafu hujui ufanyie nn kwl! Kulikua na umuhim gan ww kukopa?
 
Mkuu weka hiyo hela bank. Chukua kidogokidogo. Hali kwa sasa haieleweki... mimi nilipata milioni kumi april. Kwa sasa sina hata senti na hakuna kinachoonekana.
seriously?? aisee kweli tunaithoma namba
 
Fanya biashara unayoipenda zaidi kwenye nafsi yako. Cha msingi ni kufanya katika eneo sahihi lenye wateja. Fanya research kabla.
 
Asante sana mkuu umetema Cheche za hatari sana.mwenye maskio na asikie.
 
Sasa mzee unaanzaje kuchukua mihela halafu hujui ufanyie nn kwl! Kulikua na umuhim gan ww kukopa?
boss coment zote hizo hujajifunza kitu....Hili ni swala ambalo kijana yoyote anaweza pitia badala ya kucriticize kwann usitoe mchanganuo wako tuone twasonga vipi
 
Nakumbuka siku moja usiku, nilikuta kuna mama mmoja mjasiriamali nilikuta anaahojiwa kwenye TV(steshen nimeisahau) yule mama akasema alianzia na mtaji wa milioni5 na hadi hv sasa Ana bilioni3, alifungua mradi wa kusaga nafaka.
 
ningekuwa mimi kwa mazingira ninayo maji ni ya shida na ardhini yapo mengi dumu la maji ni sh 500 maji safi, ya chumvi ni 300 hivyo basi ningechimba kisima cha maji na pia kwa hela hiyo hiyo ningejenga low cost greenhouse,hili nilime hoho na nyanya kipindi cha mvua kubwa yaani masika
 
Reactions: MC7
MADINI NA HASA DHAHABU
Utatumia mil. 18 kama principal capital. Utanunua dhahabu kwa tsh 60,000 kwa gram. Hivyo utapata gram 3000 sawa na kilo tatu. Kwa bei ya mauzo Dar ni 70,000 kwa gram. Namaanisha fanya biashara ya faida ya elfu kumi. Kwa gram zako 3000 ni faida ya mil.30. Na trip ya kikazi hata kama itakuchukua muda sana ni wiki 3.

Kama utahitaji ushauri zaidi kuhusu biashara hii namba yangu ni 0786187408
 
Marekebisho
Kwa Mil 18 utapata gram 300. Kwa hiyo kila trip utatengeneza mil. 3.
0786187408
 
unaweza specify "meinkampf" ah ah bodaboda,bajaji basi au? vp kuhusu ufuatiliaji..sababu mi kinachonnibana ni mda mzee...vp kuhusu real estate..nikiwekeza kwe kanyumba hivi nna kiwanja cha mzee katikati ya mji
Real estate kwa 20m mkuu?
Kwa Mimi wa mkoani hizo 20m ningewekeza kwenye spare used za magari. Inalipa hii biashara balaa.
 
mama amechimba ksima cha maji mjini kabisaa maji masafiii..lakini kwe mazingira yetu ngumu kupata kwa 500 so anauza 200 ambayo amount yote mara nyingi huishia kwe kulipia umeme wa mota..labda hoho sijajua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…