USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

Na amni wewe utakuwa umesoma vizur kama umesoma vizuri utakuwa na upeo wa akili vizur .

Ushauri kama ni mkazi wa Dar es salaam nenda kanunue shamba kama hekari moja na nusu au mbili maeneo ya Bunju anzisha ka bustani cha mboga mboga mfano nyanya ,mchicha nk utatengeneza hela nzuri na utakuwa huja poteza hela hata kama biashara ikikushinda unayo plot
nmekuelewa sana kiongozi......sema dont you think the amount is too big to only depend on plot and farming
 
I have to take the risks others don't take to live a life they don't!!! That's knowing your comittment to this, your tribe matters alot!!
ah ah sio mazingira au upbringing ndo determing facotr mkuu...wengine tumezaliwa daslam tumekulia daslam ..ila watu wa huko nynda za juu kusin
 
Mkuu dili na biashara ya nafaka (mchele,unga wa mahindi,maharage,mafuta ya kupikia eg mafuta ya alizeti agiza kutoka Iringa au Singida) ,fungua bucha hata mbili na duka la samaki dogo. Kisha tafuta eneo lenye movement ya watu wengi weka mgahawa wa kisasa.Huo mgahawa utaundesha kwa nafuu sana kwani baadhi vitu utatoa ktk biashara zako nyingine Mkuu
 
Wekeza gold+ 3 tu.ambayo kila wiki utalipwa dola 170×3=510×tshs 2200= hiyo ni kwa wiki zidisha kwa 4 mwezi .utakuwa na pesa kibao.
 
UNANGOJA NINI KUINGIA NDANI YA HUU MPANGO?

Package hizi hapa NA malipo yake..
1. Bronze ...$307 paid $12.75 weekly
*Jiunge nayo kwa 675, 000/= utalipwa 28,000/=kwa wiki*.

2. Silver ...$561 paid $27.75 weekly
*Jiunge kwa kulipia 1,234,000/= utalipwa 61,000/= kila wiki*

3. Gold...$1070 paid $51 weekly
*Jiunge kwa 2,354,000/= utalipwa 112,000/= kila wiki*

4. Gold+ ...2086 paid $170 weekly
*Jiunge kwa 4,600,000/= utalipwa 374,000/= kila wiki*

Faida kwa kila package bila networking per month

1.Bronze= 12.75×4=51-50=$1[emoji17] Poor profit per month
*faida ni 2,200/=*

2. Silver=27.75×4=111-50=$61 per month.. not much
*faida ni 134,000/=*

3. Gold=51×4=204-50=$154 [emoji4]per month Good profit
*Faida ni 338,000/=*

4.Gold+= 170×4=680-50=$630 [emoji16]per month.. Excellent profit
*Faida ni 1,386,000/=*

*NB:*
Keywords : rate $1=2,200/
-50? Ni ya service charges ac back-office yako ktk system.. Kwa maelezo .nicheki wasap au call 0625798455
ah ah boss wanaziitaga PONZI SCHEME hizi mkuu in long run bora ungenshauri nkanunue BONDS au hisa.,....kuuliza maswali haimaanishi uwezo wangu wa kufikiri mdogo bro..dont insult my intelligence
 
Mkuu dili na biashara ya nafaka (mchele,unga wa mahindi,maharage,mafuta ya kupikia eg mafuta ya alizeti agiza kutoka Iringa au Singida) ,fungua bucha hata mbili na duka la samaki dogo. Kisha tafuta eneo lenye movement ya watu wengi weka mgahawa wa kisasa.Huo mgahawa utaundesha kwa nafuu sana kwani baadhi vitu utatoa ktk biashara zako nyingine Mkuu
now atleast you make sense bro...will look into it
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Simaanishi hivyo.nami nimekuelekeza tu pale mimi ninapochumia ok
 
nmekuelewa sana kiongozi......sema dont you think the amount is too big to only depend on plot and farming
Nenda fanya study kwanza utanunua shamba linye ukubwa kiasi hicho kwa
1) gharam ya sh ngapi? Likiwa na doc halali

2)utafanya matayarisha ya bustan kwa
kiasi gani ? Na nitakuwa na vibarua wangapi ambao watanitunzia bustani yangu ?

3)Na mboga mboga gani nitalima ili niweza kupata faida nzur
 
unaweza specify "meinkampf" ah ah bodaboda,bajaji basi au? vp kuhusu ufuatiliaji..sababu mi kinachonnibana ni mda mzee...vp kuhusu real estate..nikiwekeza kwe kanyumba hivi nna kiwanja cha mzee katikati ya mji
Unakiwanja katkat ya mji[emoji54] [emoji54]
Apo umenena
 
unaweza specify "meinkampf" ah ah bodaboda,bajaji basi au? vp kuhusu ufuatiliaji..sababu mi kinachonnibana ni mda mzee...vp kuhusu real estate..nikiwekeza kwe kanyumba hivi nna kiwanja cha mzee katikati ya mji
Ki2mie vizr icho kiwanja kitakuingizia hella hatar
Anzisha frames ambazo maduka mengi ya pale yatakuwa yako
 
unaweza specify "meinkampf" ah ah bodaboda,bajaji basi au? vp kuhusu ufuatiliaji..sababu mi kinachonnibana ni mda mzee...vp kuhusu real estate..nikiwekeza kwe kanyumba hivi nna kiwanja cha mzee katikati ya mji
Daladala na malori...
Wazo la nyumba ni zuri pia. Lakini jenga guest kwa mafanikio zaidi.
 
mpaka unakopa hukuwa na plan A, B wala C?? hapo jihesabie maumivu tu
 
Nitafute kama unataka kutoka,,ila use tayari kuacha kazi kama una umri usio zidi miaka 35 na uwe umefanya kazi kwa zaidi ya miaka 8
mkopo wake nafikiri unakatwa kupitia mshahara, mshahara ndio dhamana hawezi kuacha kazi mpaka Deni liishe, halafu kiuhalisia mtu unakopaje hela nyingi kiasi hicho halafu hujui unaenda kufanyia nini duuh
 
ah ah boss wanaziitaga PONZI SCHEME hizi mkuu in long run bora ungenshauri nkanunue BONDS au hisa.,....kuuliza maswali haimaanishi uwezo wangu wa kufikiri mdogo bro..dont insult my intelligence
Sikushauri iyo ya vocha wala hisa
Hisa ni productive kwa kampuni inayokuwa kwa haraka
Na bora ukafanya biashara2
Una mke??
Je anakazi??
 
Back
Top Bottom