Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Mwambie mlitaka kumfanyia suprise ko umefanya haraka kwenda yeye kumalizia huku mkiwa na tabasamu.wewe shemeji na unaharaka kimalizia kabla ujakabidhiwa mali yako
 
Kesi ndogo hiyo; akae na mkewe wamalizane, kuhusu mchepuko asijengewe nyumba ila ampe kiasi cha fedha huyo mchepuko akanunue mwenyewe anapojua.
 
Hiyo rahisi DeepPond, abadili matumizi ya hicho kiwanja kwa kujenga nyumba ya familia, alafu asiseme chochote mpaka mke amuulize, pia akiulizwa aseme litaka kufanya saprise ila kwavile alijua kabla ile source ya information iendelee kumpa taarifa, halafu anunue kiwanja kingine ila abadili mbinu, hati mpya ipewe jina la mtu mwingine.
 
Laaaah kumbe kuna wanaume wananunua hadi viwanja kwa ajili ya michepuko!![emoji3][emoji3]wanaume mna roho nzuri sometime s!!
 
Wazo zuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…