Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Heee mambo yenyewe ndio hayo tena?hapo sasa hamjawajengea michepuko mmejengea familia zenu.hii ni sawa na kupewa gari bila kadi halafu dada uko mtaani unavimba...vichekesho
Unakaa tako moja[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!hati zipo kwa mke
 
Hapana bora tubaki na kitunguu maji,kumbe DP a crew yake nyumba zenyewe hawaandiki majina yetu wanaandika majina yao,sis tutakuwa kama walinzi pale🙂
Kukabidhiwa inategemea mwnyw umejiweka vipi,

Kama unakua mchepuko Kisha unajiweka kiudangaji dangaji,
kwamba MDA wowote unaachika Haina haja ya KUKUANDIKA KWENYE ASSETS.

Ila kama Ni Mchepuko na umejiweka kiu-permanent na unaonyesha mapenz yasiyo na shaka ya maslahi, Hakuna tabu UKIANDIKWA KWENYE ASSETS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikuchoka unaondoka kama ulivyokuja..

Hapo mume huna, mtoto huna, na umri umekutupa mkono[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea umejiweka wekaje,
Ukija kiudangaji, utaondoka kiudangaji.

Huwez kuja kuchuna afu uchune uondoke zako.

Wanajali na kupenda Kali,
Hata kumfukuza mwanaume mwenyewe utaona aibu TU unaanza anzaje kumtoa ndani ya nyumba.

Ila Kama Ni Mdomo pistol,
Unafukuza bila kujiuliza Mara mbili[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli umesema vyema kabisa,tatizo watu wanashangaa kwa kuwa tunaishi kwenye kizazi ambacho hakitaki amajukumu wamejazana madudu kichwani kama kumhudumia mwanamke unaempenda ni upoyoyo,yaani kizazi hiki ujanja ni kudate na mwanamke bila kuchangia hata sabuni yake ya kuogea,ujanja ni porojo na blablah
Sasa mnapotokea viumbe unaoweza kutunza mwali wako wanashangaa sana wanakuona kama mshamba,sio kweli!Hivyo ndivyo mwanaume anatakiwa kuwa,,,,sio porojo tu na kula ndizi nyama mwanamke kapika hata hujui katoa wapi...chaaaa
 
Kama hivyo sawa,maana niliona hapo ni kama kuuziwa mbuzi kwenye kiroba.
 
Hapana bora tubaki na kitunguu maji,kumbe DP a crew yake nyumba zenyewe hawaandiki majina yetu wanaandika majina yao,sis tutakuwa kama walinzi pale🙂
Mbona walinzi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka
 
Vijana hawaeleweki kwamba Unapomhudumia mtu wako, unaongeza nafas ya ushawishi, heshima, utii na uanaume wako mbele ya mwanamke wako.

Huwez ukawa uhudumii usafiri wa mwanamke wako, ukapata Nguvu ya kuulizia kwann kachelewa kurud kazini?

Huwez ukawa uhudumii mawasiliano ya mwanamke wako, ukapata Nguvu ya kumuuliza Simu yake anawasiliana na Nani?

Huwez ukawa uhudumii chakula Cha mwenza wako, ukapata Nguvu ya kumuuliza kwann alitolewa dinner?

Unajua tunapolalamika tumeachwa au hatupendi Lazima turejee nyuma kwenye uwajibikaji wako mwenyewe mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hivyo sawa,maana niliona hapo ni kama kuuziwa mbuzi kwenye kiroba.
Ukija kwenye mahusiano kuchuna,
utaishia kutumika TU na kutelekezwa.

Mwanamke anaekupenda hata kumzingua kikatili utaona aibu mwnyw na nafs itakusuta, Ndo ile unakuta mtu kaamua kumuachia kill kitu karud kwa mkewe kiroho Safi.

Sasa Tatizo wanawake wanajua mwanamke ukishakua mchepuko hupaswi kumpenda mwanaume yule.

KITU ambacho sio sahii,
Maana Ni kweli wanaume tunachepuka kufata ngono, ila sio kwamba tukipendwa hatufurahii, hatuoni Wala hatupendi.

Na sisi wanaume tunamoyo,
Tunaruhusu kuwapenda zaidi pale tunapoona na sisi tunapendwa hata Kama tulikwenda pale kuhit&run.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwezi kufungua darasa la kutufundishia kina kitunguu maji wetu?

Huwa nasema kila siku mwanamume anaehudumia mwanamke anakuwa na power ya umiliki,na heshima......wengine watauliza mbona kuna wanawake wanahudumiwa bado wanacheat?Jjibu ni simple tu HULKA.
 
Hueleweki mkuu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana bora tubaki na kitunguu maji,kumbe DP a crew yake nyumba zenyewe hawaandiki majina yetu wanaandika majina yao,sis tutakuwa kama walinzi pale🙂
EeeeEe kumbe hawafai.
Mfyuuuu zao.
Bora tubaki na kitunguu maji kwa kweli.
Sasa kama wanaandika majina yao anawasiwasi wa nini mpaka kuleta hii thread?
 
Umezungumza vizur Sana.Ntazingatia[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…