Kuna mwamba kauza ramani hapo asije akawa yule bwege aliechukua mwanamke wa ndugu yenuJamaa sidhan km Ni sms au WhatsApp.
Kuna mtu kachoma picha Zima Maana HAIWEZEKANI ile namba ya mzee wa kiwanja kaipata wapi?[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na maanisha kwamba mtaka mawili moja humponyoka soon ndoa itakuwa hayati
Ni suala la vipaumbele TU,Nikiombwaa laki tu hanisikii tenaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mchepuko unamfanya kama mkee
Kaka naelewa sanaa mwanaume shida ni hela tu kama unazo mambo ya kawaida sanaaaNi suala la vipaumbele TU,
Kuna mchepuko ukiwa nae hata Nguvu ya kutafuta zaid unaipata maana utajihisi humtendei Haki kwa anavokujali.
Kuna wanawake wanajua kucare mkuu,
Sema TU unabahat mbaya hujakutana nao rikiboy
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Sasa imebaki Ni bia nyama choma, bia nyamachoma siku ziende?Sio sura,
Ni matendo tu@joannah
Mchepuko anaandikwa pale anapoonesha Yuko kwenye mahusiano serious kwa upendo wake wa dhati toka moyoni
(yaani kakupenda KABISA)
Na sio yupo pale kwa ajili kutoa huduma ya ngono TU.
Hii ndo kitu imefanya nmetelekeza pagale na Kusitisha kumjengea mama j[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiombwaa laki tu hanisikii tenaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mchepuko unamfanya kama mkee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]eehe kama tunauziana asemeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usipende kuhudumia kwa hela ya mawazo,Shida ni hela tu me kuna mzee alipata mafao akajengea mchepuko mwisho wa siku zimeisha akamfukuzaa kama mbwaaaa... Mwingine alimjengea akahama kwa mkewe wa ndoa kabisa akaanza kuishi na mchepuko so haya mambo yapo.
Hapo umenena[emoji4][emoji106]Kaka naelewa sanaa mwanaume shida ni hela tu kama unazo mambo ya kawaida sanaaa
Yaah sasa huyu mzee hela ya pensheni ndo kachezeaa.. shida ni kuwa na mchepuko usioumuduuu[emoji3][emoji3][emoji3] Rikad omomo mkewe tu kamshindaaa bonge la demu mahitaji mengii
Tatizo lako boy Masikhara mengi.Nikiombwaa laki tu hanisikii tenaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mchepuko unamfanya kama mkee
Hakika,Kwa hiyo Sasa imebaki Ni bia nyama choma, bia nyamachoma siku ziende?
Acha zako wewe,Kafanya la maana mshukuru
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]Juzi manzi mtumishi balaa anapost mistari muda woteeee... eehe nyie acheni tuTatizo lako boy Masikhara mengi.
Ha ha ha....Yaah sasa huyu mzee hela ya pensheni ndo kachezeaa.. shida ni kuwa na mchepuko usioumuduuu[emoji3][emoji3][emoji3] Rikad omomo mkewe tu kamshindaaa bonge la demu mahitaji mengii
Ha ha ha. ..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]Juzi manzi mtumishi balaa anapost mistari muda woteeee... eehe nyie acheni tu
😂😂😂😂wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]Juzi manzi mtumishi balaa anapost mistari muda woteeee... eehe nyie acheni tu
Kizazi kipya.Ha ha ha. ..
Inaonekana wee Ni mzee wa hit& run.
Hupendi kudumu na mwanamke kwasababu ya gharama[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]eehe kama tunauziana asemeee