Ushaurii mwamamke wakw ni smart sana so ukweli wote anaujua yani so kama jamaa ako anampenda mkeo bhasi avunge tu ageuze gia angani ionekane alikuwa anafanya siri ije kuwa Suprise ila MWANAMKE UKWELI WOTE ANAUJUA anamgeukaa tu na kumkazia si unajua mwanaume mwanaume.. ila kama anataka mambo yaende kombo Bhasi azingue kuwa hajui chochote kuhusu hilo jamboo japo yule mzee mwenye kiwanja alizingua sana kupokea hiyo helaaa toka kwa mtu asiemjua... Ugumu pia jamaa kurudishiwa hela itachukia muda labda kama.kiwanja kinajiuzaaa
Ati asichokipata kwa mke anakipata kwa mchepuko so ati na michepuko una hakiUnachepuka hadi unajengea hawara nyumba, bure kabisaaaa
Well said[emoji106]Ati asichokipata kwa mke anakipata kwa mchepuko so ati na michepuko una haki
True story kabisa.Hakika,
Uwazi Ni muhimu chief[emoji4]
Tena Ni Bora uwe muwaz umuulize kuliko kuugulia maumivu yako mwnyw
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaishi nao,
Yule jamaa sidhan Kama hizi taarifa anazo, hakuhusishwa kwa chochote mbonaKuna mwamba kauza ramani hapo asije akawa yule bwege aliechukua mwanamke wa ndugu yenu
Ha ha ha ...ulifanya vema KABISA,True story kabisa.
Nilipata mchepuko mmoja ni single maza yani ilibaki kidogo nimlipie kodi ila nikasitaa mwisho wa siku akapangiwa na nani sijui ila hela zangu ndogondogo kala yani nikiomba mzigo ni chenga nyingi sanaaa... Nkajua hapa naliwa bure siku nkamkaushia kama week hivi siku nashangaa ananillia shida nikamwambia njoo lodge flani uchukue hiyo laki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Akaanza kuruka eti ooho me najiheshimu shwain.
Mwanamke akikupenda kukuvulia si shidaa...!![emoji38][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe
Mi mwnyw nahs hivyo mkuu,Dah nimejikuta nacheka ila ghafla nikahiisi aibu inayoenda kukupata ikabidi nifunue kidgo vitabu vya saikolojia ili nikutendee haki katika ushauri , sasa iko hivi kaa hivyo hivyo kimya kama hujui kitu japo rafiki yako ashakujuza ili uiharibu saikolojia ya shemeji yako ya kuwa je unajua lolote au hujui lolote mpaka yeye , mwenyewe alete hizo habari , hapo akileta hizo habari jibu ni kuwa ulijua anajua na pia ulidhani ni kiwanja chao sio cha mchepuko , then kaa pembeni.
Kurudisha Ela yote yule mzee Ni ngumu Sana maana najua washazitumia. Na mzee yule aliuzia shida ndo maana Ela Zenyewe kalipwa kwa mafungu.Ushaurii mwamamke wakw ni smart sana so ukweli wote anaujua yani so kama jamaa ako anampenda mkeo bhasi avunge tu ageuze gia angani ionekane alikuwa anafanya siri ije kuwa Suprise ila MWANAMKE UKWELI WOTE ANAUJUA anamgeukaa tu na kumkazia si unajua mwanaume mwanaume.. ila kama anataka mambo yaende kombo Bhasi azingue kuwa hajui chochote kuhusu hilo jamboo japo yule mzee mwenye kiwanja alizingua sana kupokea hiyo helaaa toka kwa mtu asiemjua... Ugumu pia jamaa kurudishiwa hela itachukia muda labda kama.kiwanja kinajiuzaaa
Hebu ondoka kwenye huu uzi umekuzidi umri..humu waache wakubwa wako wanaojua umuhimu wa kulea bwana.Mwanamke akikupenda kukuvulia si shidaa...!![emoji38][emoji28]
Yap hiyo ndiyo itakuwa salama yako na kuitunza heshima yako kwa shemeji yako ila pia kuua zaidi saikolojia ya shemeji yako, mwambie rafiki yako aende asaini ila kiwanja asimpe mchepuko kwanza lakini asimuulize mkewe chochote mpka aamue mwenyewe kulizungumzia , kwa asili ya mwanamke haichukui hata wiki ataongea tuMi mwnyw nahs hivyo mkuu,
Hapa ni kuvunga tuone mwelekeo wake ukoje na anataarifa zipi kabla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajawahi kuenjoy mahaba uyo,Ni nzuri kama unamke wa kipwani full kukupa mchezo enjoyable bila kelele kama hawa wanawake wa kibara. Wengine wake wasumbufu mtu unataka mchezo unapangiwa ratiba kama vile shirikisho la mpira.
Tunatafta michepuko sio kwa kuwa hatupendi uaminifu ila sababu inaboa kulazimisha sex na kugonga demu kama maiti hamna emotional connection during sex.
Wake wengi wana kero za uvivu wa kutoa penzi so unatafta sub tu anaekupa game kila saa unavyotaka wewe.
Sijui kwanini baba yake hakutumia condom....Unachepuka hadi unajengea hawara nyumba, bure kabisaaaa
Matusi Ayo sasa mkuu[emoji4]Sijui kwanini baba yake hakutumia condom....
Hilo wazo lako nmelikubali,Yap hiyo ndiyo itakuwa salama yako na kuitunza heshima yako kwa shemeji yako ila pia kuua zaidi saikolojia ya shemeji yako, mwambie rafiki yako aende asaini ila kiwanja asimpe mchepuko kwanza lakini asimuulize mkewe chochote mpka aamue mwenyewe kulizungumzia , kwa asili ya mwanamke haichukui hata wiki ataongea tu