Ushauri: Mke wangu kaondoka usiku huu

Ushauri: Mke wangu kaondoka usiku huu

Yaani mwamba amefungiwa ndani ila kwa jina la mahaba anawaza aanzie wapi kumtafuta mke wake badala ya kujinasua toka kifungoni (selo)!
Kwa ushauri wangu vunja mlango toka nje kwanza kumekucha
 
Mrejesho nimeamka salalam ile usiku nilimpigia simu jirani yangu alipofika akakuta funguo ameitupa nje hivyo akanifingulia ila mpaka sasa ninavyoandika hajarudi na hapokei simu
Unamtafuta wa nini? Karipoti kwa viongozi wa mtaa Kisha kituo cha polisi then utulie.
 
Unaishi mitaa gani ili tukisikia mtu kachomwa moto tujue ni wewe
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Mwanamke hapigwi

Ishi nao kwa akili
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Mfwatilie utakavyoweza. Mitengano hii inaweza leta madoa kwenye ndoa. Kila mkitengana, kila mmoja wenu anakuwa na mtu, halafu mnarudiana.

Usimtafute tuu kama unajua hamtarudiana
 
Alivyokupiga ungemtuliza ukampiga na pipe, ukimpiga pipe unapiga makofi ya matako na vibao mashavuni baada ya hapo akilala akiamka na chai utaikuta mezani.
 
Kama hilo limekushinda, tafuta chakalamu mmoja vuta ndani faster uone kama hajarudi...
 
watakwambia kama ameondoka mwenyewe muache usimfate… hapa wanakudanganya

kitendo cha kumuacha nq ma stress aliyonayo anapata mwanya wa eidha kuanza mahusiqno na mtu mwingine au kuliwa kimasihara

usisahau mwanamke akipata baharia akamkula vzr huwa haachi

na hili utakuwa umesababisha wewe

usikilize moyo wako, mke ni wa kwako na si wa jf
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Ukijifanya kumtafuta ndio utaharibu kila kitu......kaaa kimya endeleza harakati zako jifanye hakuna kilicho tokea na akirudi yeye ndio aanze kukusemesha
 
Uzi wa rickboy wa kula ki masikhara

Uongo_90%
Ukweli_2%
Kujipakulia minyama_90%
Kuona female ni dhaifu_90%
Kujazana ujinga 80%
Kwa hii comment inaonesha ni jinsi gani ulivyo Lena kwa wanawake. Nyie ndio lile kundi la wanaume wachache ambao mnaona wanawake ni Kama miungu [emoji16][emoji16]

Karibu koment elfu 30 yaani watu elfu 30 wameshuhudia alafu bado unaona ni uongo[emoji38][emoji38][emoji38] kweli mazoba hamta kaa muishe
 
Kakufungia ndan kaondoka na funguo? Sasa unajuaje labda kaenda kununua petrol aje akuchomee ndani?
We ni mwanaume toka hapo ndan katafute pakulala kukikucha mrudishe kwao akapumzike maana kachoka kuish na wewe
Yes! Haya ndio mawazo ya kiuanaume, uko vizuri mkuu.
 
Back
Top Bottom