Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

Ulinishangaza sana siku ile, ila nilifurahi mana ww ndo ukawa master wa show na sikutegemea kama ungejituma vile mpaka natoka pale mapaja yote yanauma mana ulikuwa unajipigapiga kwenye mapaja yangu.

Sijui ilikuwaje ukaja kuniacha wakat mm nlkuwa bado nakupenda 😔
 
Mwamba kazidiwa akili😂😂😂😂🏃🏃🏃
 
NA si ajabu huyo demu wako akawa humu jamii forums mjuaaji hakuna ,mbeaaa balaaaa, humwambii kitu humu ,mana asilimia kubwa ya watu wa aina hiyo kuna sehemu wanatoa ya moyoni mpaka unakimbia

Nb ,Oa mke huyo ukitaka mwanamke anayeongea ndugu yangu ndugu yangu utakuja kuomba tena ushauri hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…