Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

Nimekuelewa sana aisee i feel you!! Hasa hapo kwenye kipengele kwamba sometimes unahisi kama hupendwi!!?! Nimeshakuwa kwenye hiyo position
 
Aisee Kuna ule uzi mwanamke analalamika mwanaume wake Hataki kuongea chochote akirudi nyumbani zaidi ya minyanduano.Baada ya hapo tusijuane.Naona huyo wangefaana.
 
Af kuna mimi ambaye namuamsha mtu saa 11 alfajiri kumsimulia umbea wa kwenye mwendokasi.

au katikati ya foleni yuko busy baba wa watu anapambana na bodaboda zinamchomekea mi naanzisha umbea wa Zaiylisa.

nyieee!
 
Huyo mwananmke angenifaa sana mimi awe mke wapili kwakua mimi sipendi kukaa nazungumza vitu vyakipuuzi kuliko tukae tunaongea mamabo ambayo naona hayana maana nibora usiwepo mahali hapo au uwe kimya tuu.
Kuongea,kujadili,nakutafakari mambo napenda sana ila isiwe upuuzi haswa kujadili watu.
 
Hakuna mwanamke mkimnya mbele ya mwanaume anayempenda. Angalia huyo demu wako yupo na wewe kwa kitu gani sana alafu kiondoe ili upime reaction yake. Pima matendo yake na siyo maneno yake alafu ulete mrejesho
 
The same kwangu mimi, mwanamke wangu analalamika mimi mkimya sana sipigi nae story muda wote nachat na simu hajui kumbe niko jf nasogoa kama sina akili timamu.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ningesema mazoea, lakini haiwezi kuwa kweli kama mshafikia hatua ya kujazana mimba.
Bila shaka huyo atakuwa anakuona huna akili na unaongea pumba. Ila wewe unadhindwa tambua.

Au umri wako na wake ni gape kubwa hivyo mnakosa related experiences za kujadili na anashindwa kuwa comfortable sababu ya umri. Na kwakua umesema kwao wanashida means kuna asilimia kubwa yupo kwako ile inabidi tu na sio kwamba anapenda.

Mabinti wakimya age 18-24 huwa wanaongea sana wakikuzoea, wana akili za kitoto, na wanapenda age-mates. Spoken from experiences. So my conclusion ni age gap.

Solution ni mpe few years akue, na aanze kujiona mtu mzima mnayelingana ndipo ataanza kufunguka.
 
huyo ndo mzuri mi natafuta kama huyo
 
Aisee Kuna ule uzi mwanamke analalamika mwanaume wake Hataki kuongea chochote akirudi nyumbani zaidi ya minyanduano.Baada ya hapo tusijuane.Naona huyo wangefaana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…