Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tumuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuone.
Jaribu kumkasirisha siku moja, tafta sababu yoyote chapa makofi mawili matatu.Shukran mkuu, lakn mimi nimejaribu kuwa talkative kwake ili awe free, lakn wapi.
Ndio mkuuTumuone.
Aysee! Hapo una mtihani sana! Ila usimuache fuata ushauri wa mwanzo kabisa wa Shimba ya BuyenzeHata kwenye sex yupo kimya tu mkuu. Huwezi amini!!
Nimecheka😂Mbadilishane mkuu, ili humo ndani muwe kama mpo library.
Hakuna mwanamke mkimnya mbele ya mwanaume anayempenda. Angalia huyo demu wako yupo na wewe kwa kitu gani sana alafu kiondoe ili upime reaction yake. Pima matendo yake na siyo maneno yake alafu ulete mrejeshoKwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.
Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.
Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.
Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.
So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.
Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.
Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.
Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.
Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"
Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.
Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.
Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.
Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!
Sorry, kwa uandishi mbaya.
Nakemea sana hii tabia hivi wewe hujui kama Ahmedy Ally ni mwanaume?Unataka muongeaji kamuoe Ahmed ally wa simba
😅😅😅😅😅😅The same kwangu mimi, mwanamke wangu analalamika mimi mkimya sana sipigi nae story muda wote nachat na simu hajui kumbe niko jf nasogoa kama sina akili timamu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo mimi ananifaa kabisa, natafuta kama huyo
huyo ndo mzuri mi natafuta kama huyoKwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.
Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.
Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.
Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.
So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.
Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.
Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.
Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.
Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"
Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.
Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.
Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.
Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!
Sorry, kwa uandishi mbaya.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee Kuna ule uzi mwanamke analalamika mwanaume wake Hataki kuongea chochote akirudi nyumbani zaidi ya minyanduano.Baada ya hapo tusijuane.Naona huyo wangefaana.