Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

Hujamfanya hujakoleza ikavimba,tunakimbiaga wenyewe mbona.Mwombe akusindikize unapoenda job akitoka tu funga mlango akilazimisha msukume bora aanguke kuliko aibu inayoelekea kukuta then kalale lodge usiku mmoja tu
Hahahahaha kumbe kupelekewa moto huwa mnakimbiaga mbunye ikivimba!
 
Kwani ni mnene sana anamaliza nafasi ya chumba, kama hajai chumba muache tu akae maana wewe ndiye ulimpeleka kwako.
 
Dah! Wanamajaribu sana mwanangu
Mimi nilikuwa na demu mmoja wa huko pentecoste, baada ya yeye kukubali niwe mpenzi wake,mara jinalikabadilika nikaanza kuitwa mume, mara utakuja lini home kwa wazazi wake visanga ni vingi, ilibidi nimpige chini bila kumlaa manake niliona huku tunapoelekea palikuwa pabaya zaidi
 

Usikute unaandaliwa mazingira ya kubambikiwa mimba.
 
Mwambie "muda umeisha" ataondoka mara moja maana atahisi unataka kufanya ugaidi.
 
toka juzi kanuna kuondoka hataki na mzigo hataki kutoa analamika kwa nin namfukuza wakat nilimwambia nampenda..
Ana hoja tena nzito kama ulikuwa unamtamkia unampenda kama bosheni,nasema hivi upigwe na kitu kizito kwenye hicho kichwa.
 
Reactions: THT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…