Tulinje twayene
Senior Member
- Aug 7, 2020
- 141
- 184
Mkuu seminari gani inalea watukutu?Mpeleke shule za watukutu
Ukishindwa hilo mpeleke shule za seminary
Hio ya dogo kupelekwa kwa kaka polisi sidhani kama italeta athari yoyote, dogo atajiona kama vile ameenda kutembea tu nyumbani kwa kaka polisi.Pia kuna rafiki yangu polisi nimejaribu kuongea naye anasema jioni nimepeleke huyu dogo kwake pale akaongee naye. anasema nisimpeleke kituoni
je imekaaje hii?
Subiri matokeo siku atachomwa moto mikononi mwako ndio utajua kuwa ulikuwa unakosea kuhofia ndugu. Rudisha kwa baba yake kama ni kumsomesha kamsomehe akiwa huko. Tafuta namna nzuri ya kuwarudishia mzigo wao, hata boring kampeleke akitoke kwa baba yake kwani hatatoboa atarudishwa ila atarudishwa kwa baba yake na hapo utakuwa ushautua mzigoHawataki watasema mimi ni mchoyo na mbinafsi huyu ni kama mwanangu
Ipo siku utakuja kuona ni bora maneno yao ya wewe ni mbinafsi yalikuwa ni bora mara 1000 kuliko tukio ambalo dogo atakuja kukupiga nalo.Hawataki arudi wanasema mimi ni mbinafsi na mchoyo.
Bora lawama kuliko fedheha. Rudisha mwambie utasaidia akiea huko. Otherwise jiandae Kwa loloteHawataki watasema mimi ni mchoyo na mbinafsi huyu ni kama mwanangu
Mpeleke shule ya jeshi huyo atanyooka tuWakuu,
Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.
Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,
Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!
Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.
Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!
Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.
Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.
Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.
Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.
Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.
Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!
Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.
Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?
Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.
Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.
Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!
Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!
Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!
Nishauri wakubwa.
Wakuu
Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira Sana.
Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,
Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!
Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.
Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!
Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.
Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.
Alishaiba hela Sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.
Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu Sana nilipoambiwa hilo.
Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.
Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza.!
Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake..!
Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?
Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.!
Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.
Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!,
Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!
Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi Sana!
Nishauri wakubwa.
Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!
Ni sahii mpeleke. Wana namna ya kuongea nao.Pia kuna rafiki yangu polisi nimejaribu kuongea naye anasema jioni nimepeleke huyu dogo kwake pale akaongee naye. anasema nisimpeleke kituoni
je imekaaje hii?
Mfanyie shop beba peleka kwao, unless you have some benefits from himHawataki arudi wanasema mimi ni mbinafsi na mchoyo.
Mtunze akiwa kwao.Tatizo kaka zangu hawawezi na hawataki kusikia ili wanaamini nina uwezo wa kumtunza huyu dogo,
sijui nifanyeje?
Wakuu,
Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.
Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,
Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!
Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.
Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!
Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.
Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.
Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.
Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.
Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.
Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!
Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.
Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?
Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.
Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.
Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!
Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!
Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!
Nishauri wakubwa.
Je kaka yako mwenye mtoto hakuwa mwizi enzi zake kama sivyo basi mama yake kwao wana hizo element za wizi kingine ni dogo ana matazamio ya kuwa na pesa za kula bata wakati hana kazi..focus umpeleke JKT baada ya Form four mvumilie hata hapa yupo dogo kama huyo..Wakuu,