Ushauri Msiba wa mkwe na mdogo wake na maziko siku moja je aende kumzika nani

Mkwewe not the one you mentioned.

Hiyo familia imekosa good communication, ilitakiwa wapange siku tofauti, ikiwa hali hairuhusu kungoja, amruhusu mke akamzike mzazi yeye azike ndugu yake.
Mama sijakosea mkewe maana mke wake. Au ulimaanisha nini kwako
 
WANAUME nani anaturoga...!??? Maamuzi madogo kama hayo nayo yanahitaji ushauri...

Yaani unafanya comparison ya kipaumbele kati ya Mdogo wako na Baba Mkwe.??? Are you TIMAMU.???

Vijana mnapoamua KUOA basi hakikisheni mmekomaa ki-MAAMUZI......otherwise endeleeni kula kimasihara tu...

Be a Man..... Nenda kamzike mdogo wako,,, na baada ya hapo utaenda kuwapa pole Ukweni....
 
mbona jibu rahisi wewe akamzike mdogo ake yani athamini papuchi kuliko ndugu yake uo ni ujinga, amalize msiba wa ndugu yake alafu asafiri akatoe pole ukweni simple tu yani akienda ukweni kwanza atateseka sana kisaikolojia
 
WANAUME nani anaturoga...!??? Maamuzi madogo kama hayo nayo yanahitaji ushauri...

Yaani unafanya comparison ya kipaumbele kati ya Mdogo wako na Baba Mkwe.??? Are you TIMAMU.???

Vijana mnapoamua KUOA basi hakikisheni mmekomaa ki-MAAMUZI......otherwise endeleeni kula kimasihara tu...

Be a Man..... Nenda kamzike mdogo wako,,, na baada ya hapo utaenda kuwapa pole Ukweni....
Umemaliza
 
Ingekua wewe kweli ungeenda ukweni wakati nyumbani kunazikwa nduguyo
 
akazike mdogo wake kwa wakwe ataendaa hata baada ya msiba ila mkewe ndo aende kumzika baba ake wagawane...!!!
 
Mwambie amwambie mkewe aje kumzika mdogo wake alafu yeye aende kuzika baba wa mkewe yani wabadilishane,wife akikataa ajue kuwa damu ni nzito kuliko maji basi abaki hapo kumzika mdogo wake!
Kudadadeki hii inaitwa ONE SIZE FIT ALL
 
Wadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe.

Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda kuzikwa malinyi na mdogo wake anazikwa mtwara.sasa ndugu wapo wanamsikilizia waone ataenda kumzika mkwewe amuache mdogo wake au atamzika mdogo wake amuache mkewe akamzike baba yake peke yake?

Aiseee jamaa anaipita wakati mgumu sana.
Yeye akamzike mdogo wake na mkewe akamzike baba yake
 
Kama bado anaomba ushauri kwenye suala dogo kama hilo basi hakustahili kuoa maana akili yake bado haijakuwa.
 
Mwambie amwambie mkewe aje kumzika mdogo wake alafu yeye aende kuzika baba wa mkewe yani wabadilishane,wife akikataa ajue kuwa damu ni nzito kuliko maji basi abaki hapo kumzika mdogo wake!
una akili sana wewe
IMG_20220703_160231.jpg
 
Mila mmoja akazike msiba unaomuhusu,akienda kuzika kwa mkewe ndugu zake watasema limbwata limekolea,

Si unajua hatukosagi la kusema.
 
Mwambie amwambie mkewe aje kumzika mdogo wake alafu yeye aende kuzika baba wa mkewe yani wabadilishane,wife akikataa ajue kuwa damu ni nzito kuliko maji basi abaki hapo kumzika mdogo wake!
[emoji122][emoji122]
 
Wadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe.

Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda kuzikwa malinyi na mdogo wake anazikwa mtwara.sasa ndugu wapo wanamsikilizia waone ataenda kumzika mkwewe amuache mdogo wake au atamzika mdogo wake amuache mkewe akamzike baba yake peke yake?

Aiseee jamaa anaipita wakati mgumu sana.
Akienda kumzika naba mkwe wake,itabidi mkampime DNA atakua sio damu yenu
 
Back
Top Bottom