Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Mama sijakosea mkewe maana mke wake. Au ulimaanisha nini kwakoMkwewe not the one you mentioned.
Hiyo familia imekosa good communication, ilitakiwa wapange siku tofauti, ikiwa hali hairuhusu kungoja, amruhusu mke akamzike mzazi yeye azike ndugu yake.
UmemalizaWANAUME nani anaturoga...!??? Maamuzi madogo kama hayo nayo yanahitaji ushauri...
Yaani unafanya comparison ya kipaumbele kati ya Mdogo wako na Baba Mkwe.??? Are you TIMAMU.???
Vijana mnapoamua KUOA basi hakikisheni mmekomaa ki-MAAMUZI......otherwise endeleeni kula kimasihara tu...
Be a Man..... Nenda kamzike mdogo wako,,, na baada ya hapo utaenda kuwapa pole Ukweni....
aisee mimi kama mdogo ako ntakufuata kila siku usiku ukanizike mpka unakufwaaMimi nitakwenda KWA MZAA CHEMA
Kudadadeki hii inaitwa ONE SIZE FIT ALLMwambie amwambie mkewe aje kumzika mdogo wake alafu yeye aende kuzika baba wa mkewe yani wabadilishane,wife akikataa ajue kuwa damu ni nzito kuliko maji basi abaki hapo kumzika mdogo wake!
Yeye akamzike mdogo wake na mkewe akamzike baba yakeWadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe.
Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda kuzikwa malinyi na mdogo wake anazikwa mtwara.sasa ndugu wapo wanamsikilizia waone ataenda kumzika mkwewe amuache mdogo wake au atamzika mdogo wake amuache mkewe akamzike baba yake peke yake?
Aiseee jamaa anaipita wakati mgumu sana.
una akili sana weweMwambie amwambie mkewe aje kumzika mdogo wake alafu yeye aende kuzika baba wa mkewe yani wabadilishane,wife akikataa ajue kuwa damu ni nzito kuliko maji basi abaki hapo kumzika mdogo wake!
[emoji122][emoji122]Mwambie amwambie mkewe aje kumzika mdogo wake alafu yeye aende kuzika baba wa mkewe yani wabadilishane,wife akikataa ajue kuwa damu ni nzito kuliko maji basi abaki hapo kumzika mdogo wake!
Akienda kumzika naba mkwe wake,itabidi mkampime DNA atakua sio damu yenuWadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe.
Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda kuzikwa malinyi na mdogo wake anazikwa mtwara.sasa ndugu wapo wanamsikilizia waone ataenda kumzika mkwewe amuache mdogo wake au atamzika mdogo wake amuache mkewe akamzike baba yake peke yake?
Aiseee jamaa anaipita wakati mgumu sana.