Atkins Mendel JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 616 Reaction score 755 Aug 9, 2020 #101 Ilani ya kumsema mtu baada ya kusema utafanya nn? minyoo said: ilani ipo na yapo mengi mno ya kuwambia wananchi subiria kampeni zianze utasikia kila baya la mtukufu Click to expand...
Ilani ya kumsema mtu baada ya kusema utafanya nn? minyoo said: ilani ipo na yapo mengi mno ya kuwambia wananchi subiria kampeni zianze utasikia kila baya la mtukufu Click to expand...
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 4,437 Reaction score 13,836 Aug 9, 2020 Thread starter #102 tindo, Naam, nimekuelewa vema kabisa.
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Aug 9, 2020 #103 mwarobaini_, Swali fikirishi je ujenzi wa uwanja wa kuleee.... ulipitishwa na bunge? kama haukupitiswa hapo ni big ?
mwarobaini_, Swali fikirishi je ujenzi wa uwanja wa kuleee.... ulipitishwa na bunge? kama haukupitiswa hapo ni big ?
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Aug 9, 2020 #104 leipzig said: Kwani aliyeanza kumshambulia mwenzie nani?hata mtoto mdogo anajua ni nani aliyemshambulia Lissu! tena alitoa taarifa mapema mbele ya umma na ikatokea kweli. Click to expand... CCM wakishindwa kujibu hoja watakwambia umetumwa na mabeberu
leipzig said: Kwani aliyeanza kumshambulia mwenzie nani?hata mtoto mdogo anajua ni nani aliyemshambulia Lissu! tena alitoa taarifa mapema mbele ya umma na ikatokea kweli. Click to expand... CCM wakishindwa kujibu hoja watakwambia umetumwa na mabeberu
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Aug 10, 2020 #105 Crimea said: Lisu hawezi kampeni bila kunshambulia Magufuli sababu hana sera. Pia tujue hata kwa mtu yeyote aliepata tukio kama la Lisu lazima akili iyumbe kidogo. Click to expand... Kwahiyo mlivyo mshambulia mlikusudia kumuyumbisha akili au kumuondoa kabisa duniani?
Crimea said: Lisu hawezi kampeni bila kunshambulia Magufuli sababu hana sera. Pia tujue hata kwa mtu yeyote aliepata tukio kama la Lisu lazima akili iyumbe kidogo. Click to expand... Kwahiyo mlivyo mshambulia mlikusudia kumuyumbisha akili au kumuondoa kabisa duniani?