Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Mashine Nzuri na za Uhakika, Waone GMI Tanzania, au Bahdella Dar es Salaam, Tanzania, wanauza Brand ya Karcher, ask for Karcher HD 1025, ni mashine nzuri. GMI au General Motors wapo opposite na Pepsi. Wao ni Authorised Dealer.
Anzia Nyakato hadi mjini kwenye highway ya mza-musoma na Buhongwa hadi city centre kwenye highway ya mza-shy.
Bei inategemea, maeneo ya nyegezi kukodi site hadi 10m kwa mwaka, pengine ni cheaper hadi laki tano.
nna nia ya kufungua hii kitu ndugu zangu, nataka isiwe kubwa sana iwe ndogo tu haswa kuwalenga boda boda na gari ndogo, naomba kunuzwa gharama ya vile vifaa vinavyotumika.
ahsante
Ungesema na aina ya vifaa unavyotaka maana kuna automated machine nzuri sana zinaweza kuvutia hata wateja!!
Mkuu pale mlimani city game supermarket zipo mashine, compressor kubwa kwa car Wash ni 980,000 na kuna zile ndogo ziko below laki tano...pitia check kama zipo Bado maana nina kama one month toka nizione
shukran mdau, ntapitia kuchek
nenda kariakoo mitaa ya gerezani na kidongo chekundu, zipo nyingi saaaana, mlimani watakuuzia bei ya mafisadi
Biashara ya Car Wash ni kwa ajili ya:-
-Kuosh engine
-Kuondoa vumbi/udongo.matope
-Kupig a polish gari lingae
Ili ufanye biashara kuna ainambalimbali za mashine unapaswa kuwa nazo. Muhimu ni :-
-Compressors Pressure s washers & horses
-Vacuum Cleaner
-Compressors
-Water Tanks
-Barrels/Buckets
-Brushes & cloths (rugs)
-Car washing solutions (Polish Wax, polish, soap, etc)
Muhimu unapaswa kueleza ni Business ya ukubwa gani? Maana mashine za Car wash inategemea aina ya matumizi/mahitaji. Kwa mfano ..
1.Industrial (Heavy Duty)
2.Medium-size Business
3.Small size Business
4.Domestic
The best machines ni za Ujerumani, Uingereza, Italy, Ufaransa na Marekani. Mashine za China ni cheapest in the market! Nakushauri ununue Karcher Products (kwa pressure washers na vacuum cleaners), hizo compressors etc hat za china unaweza kununua .)
Mimi nina mashine mpya, kutokana na ugumu wa kupata maeneo bado niko nazo ambazp ni KARCHER HD6/16 PRESSURE WASHER 150BAR, KARCHER (PUZZI 100 CARPET CLEANER) na ELECTRIC COMPRESSOR ( Itally) .zote kwa ujumla zilinigharimu kama $3000.00
Biashara ya Car Wash ni kwa ajili ya:-
- Kuosh engine
- Kuondoa vumbi/udongo.matope
- Kupig a polish gari lingae
Ili ufanye biashara kuna ainambalimbali za mashine unapaswa kuwa nazo. Muhimu ni :-
- Compressors Pressure s washers & horses
- Vacuum Cleaner
- Compressors
- Water Tanks
- Barrels/Buckets
- Brushes & cloths (rugs)
- Car washing solutions (Polish Wax, polish, soap, etc)
Muhimu unapaswa kueleza ni Business ya ukubwa gani? Maana mashine za Car wash inategemea aina ya matumizi/mahitaji. Kwa mfano ..
1. Industrial (Heavy Duty)
2. Medium-size Business
3. Small size Business
4. Domestic
The best machines ni za Ujerumani, Uingereza, Italy, Ufaransa na Marekani. Mashine za China ni cheapest in the market! Nakushauri ununue Karcher Products (kwa pressure washers na vacuum cleaners), hizo compressors etc hat za china unaweza kununua .)
Mimi nina mashine mpya, kutokana na ugumu wa kupata maeneo bado niko nazo ambazp ni KARCHER HD6/16 PRESSURE WASHER 150BAR, KARCHER (PUZZI 100 CARPET CLEANER) na ELECTRIC COMPRESSOR ( Itally) .zote kwa ujumla zilinigharimu kama $3000.00
Hello..najua utahitaji pressure mashine..compressor kwa ajili ya kupuliza engine hasa ukiiosha..vacuum kwa vukbi za ndani..Ukihitaji ninazo vacuum cleaners 2 mpya na Kercher car wash mashines 140p