Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

CHUKUA UZOEFU HUU MDOGO
Kuna wakati nilishakua na idea ya kufanya hii biashara na nilizunguka kwa watu wanaoifanya hii kazi walinipa uzoefu wao na pia gharama ambazo utalizimika kuzitumia.

Kwa mfano kuna Tank la kuweka maji kuanzia Lita 5,000 inategea na ukubwa wa carwash yako, ni muhimu kuweka tank kwa kuwa endapo utatumia maji direct kutoka kwenye mabomba ya Dawasco wanadai bili itakuja kubwa kutokana na pump ile ya presha inavuta maji na hewa kwa wingi hii itafanya meter kuzunguka zaidi ya ilivyo kawaida.

Pia zile mashine za kuoshea uwe nazo at least 2 ambazo kwa bei ya wakati huo (2014) zilikua kuanzia 1.5mil inategemea na ukubwa na brand ya mashine zile za Japan zinauzwa bei juu kidogo na wanadai ni imara zaidi. Usisahau mashine ya kuflonza vumbi ndani ya gari, ndoo kama 5 hivi,mpira,sabuni,uniform za wafanyakazi wako, na mishahara.

Vitu hapo juu yakupasa ununue baada ya kuhakikisha yard yako imekamilika sio mbaya ukianza na inayoingiza gari 4 kwa wakati mmoja.
 
Habari ndugu zangu. Natamani kujiajiri, nina idea ya biashara ya kuosha magari. Nahitaji mingozo kufikia kumiliki/kuendesha biashara hiyo.
Napenda kufahamu mtaji kiasi gani unaweza fanikisha biashara. Maeneo mazuri/profitable ya kufanyia biashara hii. Vifaa vya kazi kufanikisha biashara hii.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu, ukiwa na M8 Unaweza kuwa na Carwash yenye ubora wa wastani kazi iko kwenye kupata eneo zuri kwa ajili ya hiyo Carwash hasa kwa Dar.
 
Salam great thinkers....Nina plan ya kufungua car wash hapa hapa Dar es Salaam....Ningependa kujua ni vitu gani nina hitaji...What i have in mind sio zile car wash za madumu makopo na maji ya mtaloni....Ninataka kufungua a simple,small but somehow modern car wash kwa kianzio kidogo ili in the future kama ikienda vizuri nieweze ku-expand zaidi....So like i said ningependa mtu anijuze requirement(vifaa/tool n euipments) zitkazo hitajika katika hii biashara..Pia atakaeweza kutoa bei elekezi ya hivyo vifaa na mahali ntakapovipata itakua poa zaidi.....

NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI
 
Nafikiri kuna thread humu inayozungumzia biashara ya car wash na mahitaji yake,Jaribu kuitafuta kwenye jukwaa hili hili la Biashara
 
Ndii car wash.... Na hili c ndo jukwaa la biashara na ujasiriamali

Dodoki na sabuni na pressurized water
 
mashine ndogo izi za laki 3 mpka 5. tank la maji lita 500. eneo la kupaki walau magari 3 mpka 5. kijana wa kazi. na vitu vibgne vdogo vdogo, sabuni n.k
 
Jumla kuu ya bajeti (kisio la juu) ni km tzs ngapi?
sina uakka na figures, llakin kama mashine umenunua ya laki 5.... around 1 m itatosha na kubaki lkn inadepend.
maana utaitaji upige walai kazege sehem magari yatapaki... uvute maji, umeme kwa ajili ya mashine, udesign sehem ya kuelekezea maji machafu!!!
 
Salam great thinkers....Nina plan ya kufungua car wash hapa hapa Dar es Salaam....Ningependa kujua ni vitu gani nina hitaji...What i have in mind sio zile car wash za madumu makopo na maji ya mtaloni....Ninataka kufungua a simple,small but somehow modern car wash kwa kianzio kidogo ili in the future kama ikienda vizuri nieweze ku-expand zaidi....So like i said ningependa mtu anijuze requirement(vifaa/tool n euipments) zitkazo hitajika katika hii biashara..Pia atakaeweza kutoa bei elekezi ya hivyo vifaa na mahali ntakapovipata itakua poa zaidi.....

NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI
Wengi sasa hivi wanaosha magari yao wenyewe au watoto wanaliosha jumapili baada ya kanisani!wamebanwa hawapumui,dadadadeki!
 
Back
Top Bottom