Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

sina uakka na figures, llakin kama mashine umenunua ya laki 5.... around 1 m itatosha na kubaki lkn inadepend.
maana utaitaji upige walai kazege sehem magari yatapaki... uvute maji, umeme kwa ajili ya mashine, udesign sehem ya kuelekezea maji machafu!!!
Mashine hiyo inauwezo wa kutoa kiasi gani cha chaki,na inahitaji kiasi gani cha material ?samahani kwa maswali
 
Ni biashara nzuri sana ila kabla ya kufikiria vifaa pata eneo kwanza uli design vizuri hatakama utashindwa kununua tanki kubwa hata pipa la debe 12 linatosha kuanzia. Eneo karibu barabara lisiwe uchochororni
Pampu itaanzi labda laki 3 na kuendelea. Muhimu ni eneo. Milioni inawezakubanngaiza ukaanza kwa shida
 
kama ni eneo la magari manne.... kuna cement labda 5 apo na mchanga nusu lori, kokoto/moram...na gharama za ufundi
pia unaitaji umeme.,,hivyo waya kuvuta umeme hadi kwenye carwash,....sockets za kueka mashine,,, na gharama zingne kutokana na umem

mashine ningekusaidia kwa jina.,,,angalia zinaitwa Kruger.,. za kijerumani, nzuri sana zina presha kali na zinahamishika kwa uraisi....kuhusu chaki sijui.,,
 
Asante mkuu kwa ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Ni biashara nzuri sana ila kabla ya kufikiria vifaa pata eneo kwanza uli design vizuri hatakama utashindwa kununua tanki kubwa hata pipa la debe 12 linatosha kuanzia. Eneo karibu barabara lisiwe uchochororni
Pampu itaanzi labda laki 3 na kuendelea. Muhimu ni eneo. Milioni inawezakubanngaiza ukaanza kwa shida
Eneo ndo lipo katika process ya ku acquire nkishapata eneo ntawletea mrejesho
 
Mkuu ulifanikiwa kuanzisha hii biashara? Nina uhitaji pia wa kuifanya now.......... Kama hutojali rudi utupe/unipe mrejesho
 
Ndugu wana bodi nimekuja kuomba ushauri, nna mtaji wa Tsh. Milioni tano na nnataka kufanya biashara, nimewaza sana kuhusu biashara ya Car wash na baadhi ya vifaa nimenunua nje ya hiyo milion tano..Naombeni ushauri wa eneo kama kuna mtu analo liko vizuri aje pm, au kama kuna mtu ana wazo tofauti la biashara namkaribisha tushauriane kulegeleza hivi vyuma..Ahsanteni sana
 
Upo mkoa gani
 
Mkuu nenda kwenye vituo vya mafuta kaongee na uongozi ili wakupe sehemu unapega hela vizuri tu.
 
Kaka nitafute mimi kwanza kazi hiyo ndio kazi yangu pia nitakulengesha maheneo tufanye kazi nichek 0655556427
 
Ndugu wana bodi nimekuja kuomba ushauri, nna mtaji wa Tsh. Milioni tano na nnataka kufanya biashara, nimewaza sana kuhusu biashara ya Car wash na baadhi ya vifaa nimenunua nje ya hiyo milion tano..Naombeni ushauri wa eneo kama kuna mtu analo liko vizuri aje pm, au kama kuna mtu ana wazo tofauti la biashara namkaribisha tushauriane kulegeleza hivi vyuma..Ahsanteni sana
Hongera mkuu kwa wazo jema na kuthubutu ....naomba nipe bei ya vifaa haswa presure wash na vaccium umepata kwa bei gan umenunulia wap na hitaji sana hivi vitu.
 
Hellow JF,

Mimi ni muajiriwa wa kampuni fulani ya nje, inayoendesha shughuli zake hapa nchini kwetu Tanzania, katika harakati za kupambana na maisha nimekuwa nikitamani sana kuwa na kipato cha ziada nje ya msharaha na marupurupu kidogo ninayopata kazini kwangu.

Katika kuwaza na kuwazua kipi cha kufanya hasa ukizingatia nyakati hizi ni ngumu, nikajawa na wazo la kufanya biashara ya kuuza vifaa vya pikikipi, hapo hapo nitaweka mafundi kama wawili ambao watanilipa kwa kutwa, nitawapa vifaa vya kazi pamoja na compresa kwa ajili ya upepo, pia nimepanga kuweka car wash hapo hapo, kwa kuanzia nimepanga kununua tank moja lt2000, na mashine moja pamoja na vifaa vidogo vidogo kama ndoo, sabuni n.k.

Kuhusu eneo nimeshapata eneo zuri sana, ambalo litanifaa kwa shughuli nilizozitaja hapo juu. Ni eneo kubwa ambalo nitakuwa nalipa 20000 kwa mwezi, umeme juu yangu.

Kwa sasa bado sijajipanga sana kuhusu hiyo biashara ya vifaa vya pikipiki, kwani natakiwa kutengeneza banda la kuhamisha ambalo litatengenezwa kwa haya mabati ya kuchomelea, bajeti yake nimepanga 1m, nadhani haitozidi, pia kwa kuanzia nimepanga kuanza na mtaji mdogo wa 3m.

Nimepanga nianze na car wash kwanza, na ndicho kilichonileta hapa. je ile mashine inauzwa bei gani? Kuna aina ngapi? Kubwa ndogo? Je mashine za kampuni gani ambazo ni nzuri? Pia ningependa kujua kwa hii biashara ya car wash kwa ambao mnaifanya au mshawahi kuifanya nini changamoto zake? Kwa kuanzia nitaweka mashine moja kwanza na kijana mmoja. baade mambo yakiwa mazuri nitaongeza mashine na kijana mmoja.

Sina shaka kwa eneo ambalo nimepanga kuifanya hii shughuli, amna car wash karibu, pia kuna bar kubwa ambayo inachanganya sana ng'ambo ya pili kuna wazee wanakuja hapo sana na magari kupata vileo ningependa kupata a,b,c,d kuhusu hii biashara.
 
Hongera mkuu. It's good idea, Sina uzoefu nayo lakini Nafikiri ni biashara Nzuri hasa Ukipata vijana waaminifu na wachapakazi hodari.

Hiyo rent ya 20000 kwa mwezi ni km Bure tu aisee, gari mbili tu ukiosha unalipa kodi ya mwezi mzima!
sawa mkuu nasubiri wajuzi wa hii kitu waje wanieleweshe kwanza
 
Back
Top Bottom