Upo dar sehemu gani na una ujuzi ganiHabari hii mada nzuriii ila mimi bado siko kwenye level hiyooo, niko natafuta kazii kwanza , yoyote ambayo ni halali nikoo Dar
Upo dar sehemu gani na una ujuzi gani
Aah sawa nduguNikoo Dar kimara mwishooo , nimemaliza collage level ya Diplomaa (IT)
Vifaa gani na vifaa gani vinatakiwa..alafu usimamizi wake ukoje na namna yakuchaji bei ikoje..namapata kwa siku angalau nikiasi ganiBahati nzuri sana nnafanya biashara ya Car wash ila ina changamoto yake, haswa kipindi cha mvua kuna changamoto maana watu hawaoshi magar sana, pili vifaa kidogo ni ghali sema ukijipanga unanunua, kinachozingua zaid ni kodi asee wenye maeneo mjini wanatuua kwa bei kubwa
Mkuu hatari sana mwenyewe nlishaligundua hili, huwa nnaanzishaga nyuzi za mambo mazur lkn response zeroAjabu mada sensitive kama hizi masaa mawili post hata hazifiki 15 ila sasa mwendawazimu mmoja aanzishe uzi hapa akizungumzia ukubwa wa makalio au udogo wa maumbile ya kiume ndani ya 30minute utakuta unasoma pages 4.
Sijui Watanzania maisha tunayachukuliaje!!!
Mkuu haya mambo sio constant inategemea na eneo unaweza anza ata kwa milion mbiliaah basi poa ngoja nijipange na hiyo millioni 6, i wish mwaka huu nita straggle nivute hata nusu yake
Unafaham kuosha magar vyema mkuuHabari hii mada nzuriii ila mimi bado siko kwenye level hiyooo, niko natafuta kazii kwanza , yoyote ambayo ni halali nikoo Dar
Pressure washer, vacuum cleaner na vitaulo kwaajil yakufutia magarVifaa gani na vifaa gani vinatakiwa..alafu usimamizi wake ukoje na namna yakuchaji bei ikoje..namapata kwa siku angalau nikiasi gani
Bahati nzuri sana nnafanya biashara ya Car wash ila ina changamoto yake, haswa kipindi cha mvua kuna changamoto maana watu hawaoshi magar sana, pili vifaa kidogo ni ghali sema ukijipanga unanunua, kinachozingua zaid ni kodi asee wenye maeneo mjini wanatuua kwa bei kubwa
Pressure washer, vacuum cleaner na vitaulo kwaajil yakufutia magar
Mkuu Deogratius,ebu mjibu huyu mkuu huenda ukajipatiapo ka kibarua ka kukusukumia maishaUnafaham kuosha magar vyema mkuu
Mkuu Deogratius,ebu mjibu huyu mkuu huenda ukajipatiapo ka kibarua ka kukusukumia maisha
sorry sikuwa active , changamoto, kwelii aisee mkuu nakupim tuzungumzeeMkuu Deogratius,ebu mjibu huyu mkuu huenda ukajipatiapo ka kibarua ka kukusukumia maisha
Unafaham kuosha magar vyema mkuu
kwelii maishaa ni kupambana tuu , na utayariiKuna jirani yetu Enzi izoo alikuwa ananipa gari ya nimuoshee then he gave me buku 5 na kwa wiki maisha Mara 2, hii kazi ina pesa aisee