Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

Ningekuwa mimi hapo nishakula kona Mungu anisamehe. Maskini binti wa watu miaka 30 mpaka sasa hajaolewa sijui alikuwa anakwama wapi.

Akiolewa mdogo let's say 25 akapata tatizo la uzazi kwa miaka mitano atapata ujauzito ana 30 years. Akiolewa ana 30 akipata tatizo la uzazi kwa miaka mitano atapata ujauzito akiwa 35 years. Hapo anawapa gap la miaka 3 watoto wake. Ndani ya miaka 10 anakuwa na watatu akiwa na umri wa 45 na kufunga uzazi. Hezabu zikikataa hapa...
 
Uyo mwanamke wako mwambie aende kanisa la kweli akaombewe izo spirits zimtoke. Anapambana na roho zinazo zuia matokeo hatopata mtoto na hautomuoa wether unataka au hautaki ata wewe hautomuoa just kuna spirits zinawatenganisha coz mngekua na powerful and best couple. Usipuuzie haya nnayo ya sema coz nna hela, upeo, uelewa, imani na kuona ya mbele kuliko wewe.
Mwambie mwanamke wako alitafute kanisa linaitwa Reality of Christ. Liko Sinza Bigbon. Na nimeongea haya kama msaada wangu mkubwa kwenu na sitoi promotion au kutangaza kanisa ilo hapana mie mwenyewe nimelionea tu You Tube ila nimefikia hitimisho nyumba ile kuna Mungu wa kweli ambao moja ya clips nilizo ziona watu wana shuudia exactly sawa sawa na matatizo ya uyo mchumba wako.

chukua au usichukue shauri yako. Ila hii ndio comment itakayokusaidia wewe na mchumba wako. All You need is YouTube.
 
Mkuu kama mkeo ana tabia njema sidhani kama kufanya hivyo kuna shida labda tu alitaka kusolve tatizo ila sasa tatizo ni njia aliyotumia.
Ila mimi huwa sipendi mwanamke msiri msiri sana huwa wanaficha makandokando mengimengi sana, so jaribu kuchimba walau kidogo.
Na kinachomtisha mkeo mtarajiwa ni kelele za ndugu zako na apo nahisi hata yeye anajua ndoa ipo halijojo.

Namhurumia sana sana aisee.
 
Hormone zilionekana sawa shida mayai hayapevuki
Sijaelewa! , Kwamba hi operation ilikuwa inalenga kuweka homoni sawa, au kulevusha mayai,.. madaktari tuambieni Kama hayo matatizo mawili yanarekebishwa kwa operations!!!
 
Atakuwa alishajaribu sana kutegesha kupata Mimba labda ikashindikana ndo maana ameamua atafute tiba mapema na akijiangalia age imesonga, anataka kuingia kwenye ndoa, ungekuwa karibu naye kirafiki zaidi uoneshe kujali tatizo lake nafikiri atafunguka mengi ambayo mtaweza kusaidiana kama unampenda kwa dhati......matatizo tulipewa binadamu unaweza ukasema uahirishe utafute mwingine ukakutana na janga zaidi, hakuna aliyekamilika
 
Ingekuwa hakuna shida katika uzazi nisingewaza but hofu ni pale tunafunga ndoa then tutafute watoto kwa miaka 4
Miaka 4 ni michache kama kweli unampenda....na sio kama ni lazima iwe ivo, mnaweza mkapata tiba mapema watoto mkapata
 
Vipi tatizo la mwanamke kutokuona siku zake kwa miezi ata mi 4 then akiona anakaa tena miezi kadhaa inaweza kuwa na complication kwenye uzazi
Hayo mengine yanasababishwa na uzazi wa mpango.
 
Uyo mwanamke wako mwambie aende kanisa la kweli akaombewe izo spirits zimtoke. Anapambana na roho zinazo zuia matokeo hatopata mtoto na hautomuoa wether unataka au hautaki ata wewe hautomuoa just kuna spirits zinawatenganisha coz mngekua na powerful and best couple. Usipuuzie haya nnayo ya sema coz nna hela, upeo, uelewa, imani na kuona ya mbele kuliko wewe.
Mwambie mwanamke wako alitafute kanisa linaitwa Reality of Christ. Liko Sinza Bigbon. Na nimeongea haya kama msaada wangu mkubwa kwenu na sitoi promotion au kutangaza kanisa ilo hapana mie mwenyewe nimelionea tu You Tube ila nimefikia hitimisho nyumba ile kuna Mungu wa kweli ambao moja ya clips nilizo ziona watu wana shuudia exactly sawa sawa na matatizo ya uyo mchumba wako.

chukua au usichukue shauri yako. Ila hii ndio comment itakayokusaidia wewe na mchumba wako. All You need is YouTube.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeliona kanisa YouTube.
 
Pale Chapa 666 chata [if you know what it means] anapohubiri kuhusu mapepo kupitia clips za YouTube..!![emoji276]
 
Usimuache huyo binti. Mtoto ni mipango ya mwenyezi Mungu. Kaa nae mtie moyo na umsapot. Ipo siku mtafanikiwa.
 
Back
Top Bottom