Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

Nawaza hii pressure wa familia zote mbili.
Huku na kule.
Mchumba ndo wewe, huuna kabba huna support, huna maamuzi yako binafsi.

Baba mzazi anaambiwa kila kitu.
Mashangazi wanajua
Baba ,bibi , mama wake wooooote wanajua.

So wooooote mmeshamlabel huyo binti kuwa ana shida ya uzazi.

Hormonal issues mbona ni swala la kawaida kabisa kwa wanawake sasa hivi?
Mayai kutopevuka still it's a very normal stuff.

Uzuri kuna Tiba.
Kwann sasa imekuwa amplified kana kwamba hazai?
Binti hana haki kufuatilia afya yake ya uzazi?
Anaenda kuolewa,alifanya kosa gani kufanya uchunguzi juu ya mwili wake?
Amekushirikisha , wewe kama mchumba kuruuuuupu kwa wazazi!

Inaondoa the whole meaning of maturity aiseeh.

Had it been ni binti yangu, we hata sio mchumba wa kuulizia tarehe ya ndoa.
Uko na upururu upururu mwingiiii.
 
Ilitakiwa umsupport, sasa sielewi how unampinga au ww hutaki mtoto baadae. Sio uje ufunge ndoa halafu kije kiumane. Uanze kulialia na kumnyanyasa mtoto wa watu wakati yeye alitaka kutafuta solution mapema.
 
Mie naona wewe ndio unashida...umeshapoteza ile ari ya kuoa...ndio maana sisi waislamu katika mambo hatutakiwi kuyachelewesha ndoa pia mojawapo.
 
Ningekuwa mimi hapo nishakula kona Mungu anisamehe. Maskini binti wa watu miaka 30 mpaka sasa hajaolewa sijui alikuwa anakwama wapi.

Akiolewa mdogo let's say 25 akapata tatizo la uzazi kwa miaka mitano atapata ujauzito ana 30 years. Akiolewa ana 30 akipata tatizo la uzazi kwa miaka mitano atapata ujauzito akiwa 35 years. Hapo anawapa gap la miaka 3 watoto wake. Ndani ya miaka 10 anakuwa na watatu akiwa na umri wa 45 na kufunga uzazi. Hezabu zikikataa hapa...

Hivi mkuu tuongee ukweli kama watu wazima hivi kuna mtu hataki kuolewa,jee ni kosa lake kutokuolewa na kwanini tatizo kama hilo la uzazi ambalo liko nje ya uwezo wake umsimange nalo kama kalipenda?.[emoji1544]
 
Actually huyu dada ni victim wa ugonjwa, sioni kama anatakiwa kusurubiwa hivi, i think ni vyema kama ungetafuta njia ya wewe kwenda kwa daktari wake uongee naye ujue kama haswa hiyo ndiyo shida, lakini ili ku balance ungeenda naye kwa daktari mwingine wa magonjwa ya wanawake na uzazi, fanya check up tena, kama shida ikibainika ni hiyo hiyo, nafkiri ni swala la kuwa karibu naye na kumsaidia, mvuke pamoja kwemye hii shida, nafkiri badala ya kusimamgwa na pande mbili za wazazi wote, ni heri kuwa karibu naye na kimpa moyo pia kumsaidia.

Oh na kingine, wanawake hua wako sensitive sana issue ya uzazi, hakikisha hamumsemi vibaya, just be there and help her, she probably needs help badala ya kumiimbia.
 
Nimemsikitikia kufikisha 30 hajaolewa na haimaanishi kwamba yeye alitaka aolewe kabla ya hapo. Hakuna mahali nimemsimanga bali nimejaribu kuweka mizani kama ikitokea matatizo ya uzazi yanayotibika ila kwa muda mrefu huyo dada anakuwa na chance ndogo ya kupata watoto bila pressure ya umri. Sasa ndio huyu ana 30 years mwenzake pale juu kwamwambia walitumia miaka minne bila mtoto, unategemea pressure ya kutopata mtoto na umri kwenda ni ndogo.

Alafu kwenye kuoa au kuolewa hakuna mambo ya mimi sikujiumba. Kama una matatizo natural selection inakutenga regardless inauma kiasi gani. Mfano wewe unaweza ishi na mume ambaye mitambo haifanya kazi?
 
Jaribu kuwa naye karibu zaidi kwenye hilo tatizo ili mjue nini cha kufanya, Mungu awasaidie.
 
Actually huyu dada ni victim wa ugonjwa, sioni kama anatakiwa kusurubiwa hivi, i think ni vyema kama ungetafuta njia ya wewe kwenda kwa daktari wake uongee naye ujue kama haswa hiyo ndiyo shida, lakini ili ku balance ungeenda naye kwa daktari mwingine wa magonjwa ya wanawake na uzazi, fanya check up tena, kama shida ikibainika ni hiyo hiyo, nafkiri ni swala la kuwa karibu naye na kumsaidia, mvuke pamoja kwemye hii shida, nafkiri badala ya kusimamgwa na pande mbili za wazazi wote, ni heri kuwa karibu naye na kimpa moyo pia kumsaidia.

Oh na kingine, wanawake hua wako sensitive sana issue ya uzazi, hakikisha hamumsemi vibaya, just be there and help her, she probably needs help badala ya kumiimbia.
Hapa umemaliza kila kitu.
 
Nawaza hii pressure wa familia zote mbili.
Huku na kule.
Mchumba ndo wewe, huuna kabba huna support, huna maamuzi yako binafsi.

Baba mzazi anaambiwa kila kitu.
Mashangazi wanajua
Baba ,bibi , mama wake wooooote wanajua.

So wooooote mmeshamlabel huyo binti kuwa ana shida ya uzazi.

Hormonal issues mbona ni swala la kawaida kabisa kwa wanawake sasa hivi?
Mayai kutopevuka still it's a very normal stuff.

Uzuri kuna Tiba.
Kwann sasa imekuwa amplified kana kwamba hazai?
Binti hana haki kufuatilia afya yake ya uzazi?
Anaenda kuolewa,alifanya kosa gani kufanya uchunguzi juu ya mwili wake?
Amekushirikisha , wewe kama mchumba kuruuuuupu kwa wazazi!

Inaondoa the whole meaning of maturity aiseeh.

Had it been ni binti yangu, we hata sio mchumba wa kuulizia tarehe ya ndoa.
Uko na upururu upururu mwingiiii.
Hormone aliambiwa ziko sawa shida mayai hayapevuki ndo wanasuggest operation
 
Ningekuwa mimi hapo nishakula kona Mungu anisamehe. Maskini binti wa watu miaka 30 mpaka sasa hajaolewa sijui alikuwa anakwama wapi.

Akiolewa mdogo let's say 25 akapata tatizo la uzazi kwa miaka mitano atapata ujauzito ana 30 years. Akiolewa ana 30 akipata tatizo la uzazi kwa miaka mitano atapata ujauzito akiwa 35 years. Hapo anawapa gap la miaka 3 watoto wake. Ndani ya miaka 10 anakuwa na watatu akiwa na umri wa 45 na kufunga uzazi. Hezabu zikikataa hapa...
Badly ni kwamba inaonekana hii issue imeanzia kwenye familia yao maana ata wao wako wawili tu,yeye kazaliwa 91 na anayemfuata kazaliwa 2016.
 
Habari zenu waungwana!

Mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke mmoja ambaye ni muajiriwa katika ofisi za umma.Kwa wakati huo alikuwa na miaka 28.
Ndugu hivi bado hujagundua tu kwamba huyo mwanamke hakufai!! kwa dalili za mwanzo mwanzo ilishagundulika utakuja kujuta sana baadae, endelea kumsikiliza huyo dada nakushauli kwa wema kabisa swala la ndoa na huyo escape kabisa kuanzia leo si tu kwa sababu ya uzazi laa.

Matatizo ya uzazi kwa wanawake kwa sasa sijambo jipya ama lakutisha sana kiasi huyo mchumba wako a react kiasi hicho tena mapeema kiasi hiki! Tena hajaona hata reaction yako. ndg. Hapo kuna mengi yaliyojificha tena mazito na kiufupi unataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia na hao ndugu zake we wachekee tu et wakwe wakwe wakati hawana huruma na wewe huyo dada kasha ula mwingi tena humuwezi hata kwa umri tu.

We kesha anza ouongo mission za uongo uongo mapema kissing hiki mara cjui anaenda wap changamka bro hivi mbona mabint wadogo natural tena wazur hata kwa tabia wapo sana kinacho kupeleka kwa hawa old-school kitu gan! vijana bwana maisha bado tight sana bado ukapambane na matatizo ya mtu tena saa nyingine ni ya kutafuta kabisa acha uzwazwa.
 
Badly ni kwamba inaonekana hii issue imeanzia kwenye familia yao maana ata wao wako wawili tu,yeye kazaliwa 91 na anayemfuata kazaliwa 2016.
Sioni tatizo kuwa na watoto wawili mkuu, ni baraka tosha! Unawalea kwakila hali na uwezo wako wote mnafurahia maisha!!
 
Habari zenu waungwana!

Mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke mmoja ambaye ni muajiriwa katika ofisi za umma.Kwa wakati huo alikuwa na miaka 28.

Tulianza rasmi Safari ya mapenzi ambapo kufikia mwaka 2020 mwezi December nilifanikiwa kupeleka barua ya uchumba na baadaye kidogo nikatoa mahari,ndoa ilipangwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu,kwa bahati mbaya nilisafiri ghafla kikazi kwa miezi minne hivyo zoezi likasogezwa mbele mpaka nitakaporudi(katika hili mwanamke alichukia sana kwani alitaka tufunge tu ndoa then nitamkuta nikirudi Ila Mimi sikuona ulazima wa uharaka huo.)
Kama ndoto yako ni kuja kuwa na watoto tafuta mtu mwingine.
Au yeye awe tayari utazaa na mtu mwingine.
Inaumiza Sana kuishi bila mtoto na mwanamke/mwanaume wakati wewe una hamu ya kuwa na watoto.
Na wanawake wenyewe wa miaka hii wabinafsi Sana.
Anajua Ana matatizo ya uzazi Ila anataka na wewe usiwe na watoto.
Dalili ya mvua ni mawingu.
Ujue inaumiza Sana unapowaza wenzako wanapata watoto bure tu na wewe inakubidi ukanunue mtoto kwa M20-30 through IVF.
 
Hayo mengine yanasababishwa na uzazi wa mpango.
Wanawake wamejitundika kila aina ya uzazi wa mpango mpaka uzazi unakuwa mgumu.
Yaani siku hizi kuona familia Ina mtoto mmoja aafu haipati mwingine kitu Cha kawaida tu.
Wazungu wanafurahia kwa completion ya missions zao za kutupunguza duniani.
 
Kama ndoto yako ni kuja kuwa na watoto tafuta mtu mwingine.
Au yeye awe tayari utazaa na mtu mwingine.
Inaumiza Sana kuishi bila mtoto na mwanamke/mwanaume wakati wewe una hamu ya kuwa na watoto.
Na wanawake wenyewe wa miaka hii wabinafsi Sana.
Anajua Ana matatizo ya uzazi Ila anataka na wewe usiwe na watoto.
Dalili ya mvua ni mawingu.
Ujue inaumiza Sana unapowaza wenzako wanapata watoto bure tu na wewe inakubidi ukanunue mtoto kwa M20-30 through IVF.
Ila ujue hujafa hujaumbika, labda ni tatizo tu la kutibika na watoto watapatikana.....je huyu unayemshauri atafute mwingine aoe ana uhakika na afya yake ya uzazi?
 
Wanawake wamejitundika kila aina ya uzazi wa mpango mpaka uzazi unakuwa mgumu.
Yaani siku hizi kuona familia Ina mtoto mmoja aafu haipati mwingine kitu Cha kawaida tu.
Wazungu wanafurahia kwa completion ya missions zao za kutupunguza duniani.
Wanaanza kutumia ayo mavitu wakiwa wadooogo sana, secondary tu ashajua njia zote masindano, vidonge, sjui vitanzi yoote hayo anajaribu likimshinda hili anajaribu hili, ni changamoto sana
 
Fanya namna akuoe wewe
Sihitaji kuolewa kwa kweli marriage to me is not a life achievement, Nita enjoy kutimiza ndoto Zangu, ka ni miti mbona napigwa kwani walio ndoani Wana vitombesho tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom