Kipimo kinauzwaje kiongozi.Ni
Nimefanikiwa kweny Quality Alhamdulillah nlikua na kipimo na Faida Nimepata
Na wapi naweza kukipata.
Kipimo kinauzwaje kiongozi.Ni
Nimefanikiwa kweny Quality Alhamdulillah nlikua na kipimo na Faida Nimepata
😂😂😂duhhh em nipe iyo strategy alifanyaje alinnua mda gan na kuuza mda gan nataka mpk mwakan niwe na ka godown cha ata gunia 500 tuHongera sana kwa uthubutu..kuweka stock inalipa sana ukifanya timing na kupata quality nzuri ya Mazao..Ndugu yangu alikopa 70m kwa ajili ya mahindi ambayo alitumia kama 40m tu kununua mahindi nyingine akapeleka kwenye shughuli zingine..ayo mahindi ya 40m ndio yaliolipa mkopo wote wa karibia 80m plus riba sasa imagine angenunua ya 70m yote..
Dar vinapatikana ila m nlivofika kule nlikuta watu wanavyo tu wengiKipimo kinauzwaje kiongozi.
Na wapi naweza kukipata.
OKay.Dar vinapatikana ila m nlivofika kule nlikuta watu wanavyo tu wengi
kwel kabisa , n kuwa makini tuKuwa makini na hii biashara! Fanya kwanza research ya hali ya juu ndo uingie ili usije choma pesa yako! Hii biashara ina umafia wa hali ya juu!
Hiyo biashara ambayo tayari ilikuwepo kwani na yenyewe ilianzaje bila kuwa hapo mwanzo ilikuwa mpya?Nilichojifunza ni kwamba, pesa ya mkopo haitumiki kuanzisha biashara mpya, ila inatumika kuboresha biashara ambayo tayari ilikuwepo.
Hao nd napowashangaa 😂😂Hiyo biashara ambayo tayari ilikuwepo kwani na yenyewe ilianzaje bila kuwa hapo mwanzo ilikuwa mpya?
Mkuu, everything has a beginning.Hao nd napowashangaa 😂😂
sawa mwamba , japo hio kauli kazi ni kipimo cha utu sjawai kuelewa em nielewesheAll the best
KAZI ni kipimo cha utu
Mungu abariki niko narudi Round ya pili sio Rahisi😭😭 Ni Presha, Mahesabu kila kukicha , Na Stress kila muda hakuna kulala unatamn urudi nyuma ila unajipiga kifua ,Kuchoka kukaa kweny bus siku nzima na nusu , Kuogopa kukata ela Nlikutana na wandewa huko wanapeleka nchi za kenya sirare boarder , Na Uganda mtukula boarder wanakwamby bei ikiyumba kidogo kukata milion 3
Mungu abariki niko narudi Round ya pili sio Rahisi😭😭 Ni Presha, Mahesabu kila kukicha , Na Stress kila muda hakuna kulala unatamn urudi nyuma ila unajipiga kifua ,Kuchoka kukaa kweny bus siku nzima na nusu , Kuogopa kukata ela Nlikutana na wandewa huko wanapeleka nchi za kenya sirare boarder , Na Uganda mtukula boarder wanakwamby bei ikiyumba kidogo kukata milion 3
Msawa mwamba , japo hio kauli kazi ni kipimo cha utu sjawai kuelewa em nieleweshe
Moisture ni kisanga hasa kwa mahindi ya Songea, Mchina jana alikuwa anataka 14 nina mzigo unasoma 18🥺. Na bei zinazidi kushuka!Mungu abariki niko narudi Round ya pili sio Rahisi😭😭 Ni Presha, Mahesabu kila kukicha , Na Stress kila muda hakuna kulala unatamn urudi nyuma ila unajipiga kifua ,Kuchoka kukaa kweny bus siku nzima na nusu , Kuogopa kukata ela Nlikutana na wandewa huko wanapeleka nchi za kenya sirare boarder , Na Uganda mtukula boarder wanakwamby bei ikiyumba kidogo kukata milion 3 kawaida
View attachment 3375900
Duh pole sana vp umefanikiwaM
Moisture ni kisanga hasa kwa mahindi ya Songea, Mchina jana alikuwa anataka 14 nina mzigo unasoma 18🥺. Na bei zinazidi kushuka!
Kanyaga twende kiongozi tumechelewa MNO km TAIFA.
Kazi ni kipimo cha utu
Nd narudi Round 3 wakuu mambo imepamba moto sana 🔥🔥 Changamoto za hapa na pale tunapambna nazo , Chumaulete wa sumbawanga unapoteza pesa bila kujua😂 , Bei kushuka na kupanda gafla , Kuchoka barabaran etc
View attachment 3389169
Vibali ulipataje ndugu????
Naomba asikie na hiki ulichomwambia. NasikiaMkuu mpaka hapo ushafeli maana mambo mengi kuhusiana na hiyo deal hauna uhakika nayo, vitu vingi unasema UNASIKIA, Sasa pesa ya mkopo hiyo angalia isikutokee puani