captain zaka
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 262
- 258
- Thread starter
- #201
Machozi sjatoa , nimefanya na nimeweza angalia slide ya mwisho na ushahidiAsipokusikiliza,anaenda kutoa chozi.
Machozi sjatoa , nimefanya na nimeweza angalia slide ya mwisho na ushahidiAsipokusikiliza,anaenda kutoa chozi.
Nimethubutu brother na nimeweza AlhamdulillahUsithubutu, nikiwa na mda zaidi nitaeleza
Alhamdulillah nimetoboa ndio namshkuru AllahKwa mkopo utoboe?
Nimefanya tayar na nimeweza na faida imo sanaNitarudi
KAZI ni kipimo cha utu
Nimechkua brother na nimeweza AlhamdulillahUSICHUKUE HUO MKOPO. Huu ni ushauri kama hutaki usiufuate. NARUDIA TENA... USICHUKUE HUO MKOPO.
Million 30 si ananunua vi probox viwili used vilivyonyooka...Mm sikushauri uchukue mkopo kwa ajili ya kuanza biashara ambayo hauna uelewa nao vizuri.Asante
Nimefanikiwa kweny Quality Alhamdulillah nlikua na kipimo na Faida NimepataUmemaliza Mkuu... anaweza peleka Mahindi Quality na grade one mnunuzi akasema yana moisture hata kama hayana, atarudi nayo Sumbawanga,, Tunamshauri ausome kwanza mchezo kabla ya yote biashara tumia pesa yako huko mbele utatumia pesa za watu tuu tena wakulima...
Ila mpaka uelewe mambo yanaendaje.
Alhamdulillah nimeweza na nimepata mara 30 ya iyo ela uliotaja kwa trip mojaMillion 30 si ananunua vi probox viwili used vilivyonyooka...
Per day vinaleta hesabu 100k
Brother Nashkuru Allah Nimefanikiwa mbona , Na naendelea nayo angalia picha mwisho wa slideUmeongea mengi ila hapo hakuna litakalofanya afanikiwe kwenye hio biashara.
Atafute wafanyabiashara wa hio kazi akae nao awafanyie kazi hata miezi miwili, atakuwa ashaelewa kila kitu
Nimethubutu brother na nimeweza Alhamdulillah
Brother nimefanya na Nimefanikiwa kwa hizo hizo stry za kijiwen ulizosema 😂Yaan unamwaga 30 mil kwa utafiti wa kusikia. Kifupi hakuna information yoyote uliyo nayo kuhusu hiyo biashara.kusema umepata saoko kwa kusikia maongezi ya vijiweni utalia baadae. Chukua hiyo hela nenda kaweke utt wakati unajifikiria
Nimefanikiwa nduguIt can work ila uwe tyr kufeli..
Aise Bwana ni mwema yote heriAlhamdulillah nimeweza na nimepata mara 30 ya iyo ela uliotaja kwa trip moja
shukran brotherdetermination , na kuvunjwa moyo kote umekomaa hongera kijana utafika mbali.
Naomba ase unisaidie juu ya hilo dadaanguNtakupa dereva anayepeleka mahindi KENYA uende naye kwamiezi mitatu kisha utaamua kama uendelee kuchukua mkopo au la