Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

😂😂😂duhhh em nipe iyo strategy alifanyaje alinnua mda gan na kuuza mda gan nataka mpk mwakan niwe na ka godown cha ata gunia 500 tu
 
Kuwa makini na hii biashara! Fanya kwanza research ya hali ya juu ndo uingie ili usije choma pesa yako! Hii biashara ina umafia wa hali ya juu!
 
Nilichojifunza ni kwamba, pesa ya mkopo haitumiki kuanzisha biashara mpya, ila inatumika kuboresha biashara ambayo tayari ilikuwepo.
Hiyo biashara ambayo tayari ilikuwepo kwani na yenyewe ilianzaje bila kuwa hapo mwanzo ilikuwa mpya?
 
Mungu abariki niko narudi Round ya pili sio Rahisi😭😭 Ni Presha, Mahesabu kila kukicha , Na Stress kila muda hakuna kulala unatamn urudi nyuma ila unajipiga kifua ,Kuchoka kukaa kweny bus siku nzima na nusu , Kuogopa kukata ela Nlikutana na wandewa huko wanapeleka nchi za kenya sirare boarder , Na Uganda mtukula boarder wanakwamby bei ikiyumba kidogo kukata milion 3 kawaida

 


sawa mwamba , japo hio kauli kazi ni kipimo cha utu sjawai kuelewa em nieleweshe
M
Moisture ni kisanga hasa kwa mahindi ya Songea, Mchina jana alikuwa anataka 14 nina mzigo unasoma 18🥺. Na bei zinazidi kushuka!
 
Nd narudi Round 3 wakuu mambo imepamba moto sana 🔥🔥 Changamoto za hapa na pale tunapambna nazo , Chumaulete wa sumbawanga unapoteza pesa bila kujua😂 , Bei kushuka na kupanda gafla , Kuchoka barabaran etc


 
Vibali vya nini?? kusafirisha au nini!
kama vya kusafirisha vipo huku huku shmbn kweny mageti , Na kibali kingine ni leseni ya biashara ambayo haina chngmto na TRA kwamba unatoaga risiti na kulipa kodi , maan round ya kwanz nlikua sijui nikapigwa faini mikumi pale wanaanglia kweny system wakakuta lesen ya mtu nlietumia
Vibali ulipataje ndugu????
 
Mkuu mpaka hapo ushafeli maana mambo mengi kuhusiana na hiyo deal hauna uhakika nayo, vitu vingi unasema UNASIKIA, Sasa pesa ya mkopo hiyo angalia isikutokee puani
Naomba asikie na hiki ulichomwambia. Nasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…