Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

Zipo Ndoa za Serikali pia, hivyo mnaweza kuendelea kuabudu Kila mmoja kwenye Imani yake wakati mkiendelea kufurahia maisha ya Ndoa pamoja.

Watoto wenu wanaweza kuchagua Kwa kuabudu iwe Kanisani ama Msikitini, kwamaana Dini zote zinakataza dhambi

Kila la heri kwenye Ndoa yenu Mkuu 🙏
 
Watoto wanafuata kwa baba labda wapate elimu na kubadili ukubwani ila moja kwa moja mume ndi kiongozi , mtoto atafuate kila kitu mpaka kabila
 
Yeah ni kweli, though isiwe kama ni dhambi wakiamua kumfata Mama yao

Dini zote ni sawa mbele za Mungu as zinakataza dhambi
 
Zipo Ndoa za Serikali pia, hivyo mnaweza kuendelea kuabudu Kila mmoja kwenye Imani yake wakati mkiendelea kufurahia maisha ya Ndoa pamoja.

Watoto wenu wanaweza kuchagua Kwa kuabudu iwe Kanisani ama Msikitini, kwamaana Dini zote zinakataza dhambi

Kila la heri kwenye Ndoa yenu Mkuu 🙏
Point hiyo
 
Nyinyi wazee wa zamani, material yalikuwa ni MADENI JAPAN na haikuwa MADE IN CHINA

Ila materials ya sasa ni MADE IN CHINA na siyo MADENI JAPAN
Ila sokoni Mali nyingi bidhaa za Kichina

Nakumbuka Mwaka fulani nilienda site na mali Moja Kali sana kwenye picture na hata live

Lakini kufika site hakuna maajabu Wala nini?

Nikasema kweli Vijana wanalishwa matango poli, bora sisi Mwaka 47 ilikuwa Kuku wa kienyeji tu 🤗 😜
 
Kweli kabisa mkuu, material ya sasa, ubora haupo kabisa 🙂🙂..

FB_IMG_17159360416112712.jpg

👆👆👆👆👆👆
Wa mwaka huu ndo walikula matunda yaliyo mwagiliwa msimu wa kipindi cha kiangazi na masika
 
Tafuta Wa Dini Yako Vinginevyo Soma Hapa Chini Vizuri
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
😂😅
 
Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti.

Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo?

Ushauri Wana JF
Huyu ni chumba au hawala yako?

Usituchanganye

Uchumba lzm udhibitishwe kanisani kama nyie ni wakristo kama mwisalam uislam

Kama dini zenu ni tofauti unaoa kaa la moto utajuta kulia

Ila usije kutulilia hapa
 
Back
Top Bottom