Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

Ndoa zinachangamoto nyingi Sana, sipendi udini pia ila some points dini tofauti Kuna mahali inakujaga kuleta shida
 
Binafsi sioni shida,Ijue kwanza dini ya mwenzio.
Kama ni muislam basi zingatia funga yake,Mtengee sehem ya kuswali na uiheshimu,Mnunulie mavazi mkumbushe ibada.
Epuka kuitusi dini yake kuwa inakasoro.Mpe sadaka hata kama ana uwezo mtafika mbali.
Usile kitimoto home kama unakula najua ni kazi kuacha.

Kubalianeni kuhusu watoto na dini watakayochukua kisha muende na mambo ya msingi ya maisha.

Mbona rahisi tuu.
 
Back
Top Bottom