Binafsi sioni shida,Ijue kwanza dini ya mwenzio.
Kama ni muislam basi zingatia funga yake,Mtengee sehem ya kuswali na uiheshimu,Mnunulie mavazi mkumbushe ibada.
Epuka kuitusi dini yake kuwa inakasoro.Mpe sadaka hata kama ana uwezo mtafika mbali.
Usile kitimoto home kama unakula najua ni kazi kuacha.
Kubalianeni kuhusu watoto na dini watakayochukua kisha muende na mambo ya msingi ya maisha.
Mbona rahisi tuu.