Ongozana na mtu, anaweza kuwa ndugu/Jamaa/Rafiki, awe kidogo amekuzidi umri na pia awe mzungumzaji mzuri , awe na uzoefu na maswala haya, Hakika siku yako itakuwa ya furaha sana, maana wewe utakuwa sio muongeaji sana.Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini ukoo ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzma nisije kuadhirika
Sasa kama unaenda baadae si bora uende kichwa kichwa..! Ila kama ulijipanga hope una kitu cha kushika.Ha ha ha mkuu kichwa kichwa ni hatari
Waenda tambulishwa "kama mchumba"?? Au title yako iko sijaeilewaBaada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja,mara unavyozidi kuchelewa unaniweka ktk wakati mgumu sana haya Ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe uhusiano hatimaye leo ndo siku niliomuahidi nakuja nyumbani ambapo leo saa kumi ya jioni nitakuwa kwao
Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini ukoo ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzma nisije kuadhirika
Anaweza akatia aibu ukweni asee kuna watu wakionja tu lager wanalia meee! kama mbuziUko wp nikupe hata castle lite kadhaa au William Lawson utoe nishai
Basi tumuache anywe maji ya azamanaweza akatia aibu ukweni asee kuna watu wakionja tu lager wanalia meee! kama mbuzi
Hahaha..jamaa anajipeleka gerezani mwenyewe sio?Nasikitika sana unaenda kuuza furaha yako na uhuru wako kizembe namna hiyo
kwenda ukweni ndo mambo yangu hayo
yaani nikiambiwa unaitwa nyumbani huwa nafurahi kweli maana watanipa uhuru
baada ya hapo simu moja tu na maneno mawili NIPO NAE nimemaliza unaombea mvua kila siku
nimeenda kwa wakwe watano tofauti na bado natafuta wa kunilazimisha twende ukweni
Mimi sina ya ziada zaidi ya kukupa pole.Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja,mara unavyozidi kuchelewa unaniweka ktk wakati mgumu sana haya Ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe uhusiano hatimaye leo ndo siku niliomuahidi nakuja nyumbani ambapo leo saa kumi ya jioni nitakuwa kwao
Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini ukoo ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzma nisije kuadhirika
HahahahahaNasikitika sana unaenda kuuza furaha yako na uhuru wako kizembe namna hiyo
Faida yake anakuwa na mbususu 24/7....Hahaha..jamaa anajipeleka gerezani mwenyewe sio?