Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe uhusiano hatimaye leo ndo siku niliomuahidi nakuja nyumbani ambapo leo saa kumi ya jioni nitakuwa kwao.
Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini huko ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzima nisije kuadhirika.
Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini huko ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzima nisije kuadhirika.