Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni

Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe uhusiano hatimaye leo ndo siku niliomuahidi nakuja nyumbani ambapo leo saa kumi ya jioni nitakuwa kwao.

Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini huko ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzima nisije kuadhirika.
 
Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini ukoo ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzma nisije kuadhirika
Ongozana na mtu, anaweza kuwa ndugu/Jamaa/Rafiki, awe kidogo amekuzidi umri na pia awe mzungumzaji mzuri , awe na uzoefu na maswala haya, Hakika siku yako itakuwa ya furaha sana, maana wewe utakuwa sio muongeaji sana.

Kila lakheri ndugu.
 
Kwenda ukweni ndo mambo yangu hayo yaani nikiambiwa unaitwa nyumbani huwa nafurahi kweli maana watanipa uhuru baada ya hapo simu moja tu na maneno mawili NIPO NAE nimemaliza unaombea mvua kila siku.

Nimeenda kwa wakwe watano tofauti na bado natafuta wa kunilazimisha twende ukweni.
 
Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja,mara unavyozidi kuchelewa unaniweka ktk wakati mgumu sana haya Ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe uhusiano hatimaye leo ndo siku niliomuahidi nakuja nyumbani ambapo leo saa kumi ya jioni nitakuwa kwao

Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini ukoo ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzma nisije kuadhirika
Waenda tambulishwa "kama mchumba"?? Au title yako iko sijaeilewa
 
kwenda ukweni ndo mambo yangu hayo
yaani nikiambiwa unaitwa nyumbani huwa nafurahi kweli maana watanipa uhuru
baada ya hapo simu moja tu na maneno mawili NIPO NAE nimemaliza unaombea mvua kila siku

nimeenda kwa wakwe watano tofauti na bado natafuta wa kunilazimisha twende ukweni

Legend [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja,mara unavyozidi kuchelewa unaniweka ktk wakati mgumu sana haya Ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe uhusiano hatimaye leo ndo siku niliomuahidi nakuja nyumbani ambapo leo saa kumi ya jioni nitakuwa kwao

Hivyo wataalamu wa mambo na uzoefu naombeni mnipange tuu nitarajie nini ukoo ukweni maana haya mambo ya kwenda kichwa kichwa mtu mzma nisije kuadhirika
Mimi sina ya ziada zaidi ya kukupa pole.

Nakukumbusha Mungu alisema tuishi nao kwa akili.
 
Ukweni unaenda kupeleka posa au kutoa mahari? Zingatia mila na desturi usije ukaonekana muhuni, vaa kawaida lakini uonekane nadhifu. Epuka kiherehere ugenini pia msindikizaji awe mtu mzima kwenye busara na afahamu machache kuhusu ukoo au familia ya wenyeji.
 
Back
Top Bottom