Ushauri Namna gani utailinda Pesa yako : Sarafu (Coin) ina nguvu kwenye ulimwengu kuliko vile unavyofikiri

Wengine hawana vipaumbele,

Kila kipitacho machoni mwao tamaa inawaka.

Akili zikija kuwarudi,
pesa imeshakata na walichonunua Wala hawana matumizi nacho.

Wanauza Bei ya hasara angalau warudishe chochote kitu.

Yote haya Ni matatzo binafsi ya watu, na Wala sioni Kama wachawi wanahusika.

Elimu ya fedha wengi hawana
 
Ingekua ndo hivo wanabeba pesa,

Aisee Mi wangeshachukua nyingi sana.

Maana dukn kwangu kutwa wanapita wengi Sana, na hizo sarafu ndo uwa natoa Sana.

Haya mambo nadhani uwapata wanaoyaamini.

Kufilisika ni mchakato, sio rahis Kama mtoa mada anavotaka kutuaminisha.
 
mkoani Mara nyingi yapo, mfano wa shughuli za mimi jobless pro max.

Kuna mtoto wa dingi 1 (same business) kasha kuwa zezeta zezeta, huwa niki ingia ana kuja kuomba 500 au 200.

Kipindi ndo tume Anza operation maeneo hayo, nili kuwa Nampa ila nikaja ulizwa baba ake ni don why aje huku??. Nili acha.

Wenye shida, nawa nunulia chakula Kama wali au mkate. Aki goma awape salamu tu.
 
Kwa umri wako kuokota sh. 100/= ni sawa na kuokota mshahara.
 
Je, vipi ukimtumia mpesa. Two weeks ago ilikiwa usiku nimepaki sehemu namsubiri mtu, ghafla akaja jamaa akanisalimu kisha akaniomba samahani akanipa kisa chake kuwa ni baba wa familia alikiwa dereva now hana kazi. Ana mke na mtoto sema ndani hawajala na mke hamwelewi anapiga kelele. Anaomba nimsaidie ela walau aoate chakula cha usiku.
Mimi maisha nayaelewa maana kuna kipindi nimepitia msoto kweli kweli. Nikawa nataka kumpa 10,000 sema roho ikawa inasita sana. Mwisho nikamwambia nipe namba yako ya simu nikamrushia pesa. Je, pesa ya kurusha nayo ina shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…