Ushauri namna ya kufanya Service BMW X3

Kuna sensor zinazo-regulate movement of some parts au mfumo.

Ikiharibika hiyo sensor mfumo mzima unachanganyikiwa au kufa.

So, sometimes sensor zinaharibika.
 
Vitu muhimu vya kuzingatia kwa BMW.

Gari lina km ngapi?

Unalipeleka service kwa BMW authorized dealer?

Mimi X3 langu lilivyokaribia 100,000 miles, at just about 90,000 miles nililitosa nikachukua X5.
Baada ya hapo niliona litanisumbua tu.

Halafu service siku zote kwa authorized dealer.

Halafu vitu vyote by the book, kuanzia petroli mpaka oil vile vile iliyoandikwa kitabuni.

Hapo utalifurahia BMW.
 
Ana taka akwepe jukumu [emoji81][emoji81]BMW waka sema hapana hatuendi ivyo
Huwa sio utaratibu kabisa,BMW inataka preventive maintanance, ikichomwa na msumari unabadili matairi yasije yakagoma kwenda maana kuna sensor maalum ya kuzuia hub isizunguke kama tyre lina pancha au limekata uzi.

Hivyo hivyo kwenye oil ikiwasha taa unaweka oil mpya hata kama ulibadili asubuhi. Weka ingine ile ya asubuhi sio orijino.
 
Bulb ikiungua badili taa nzima[emoji23][emoji23]
 
Ila we jamaa huwa unanifurahisha sana, Nadhani hii yote ni kwasababu una li-Toyota lako ambalo likipata slow pancha unaweza ukapiga misele wiki nzima kama hakijatokea kitu na kwenye Dashboard haikuoneshi, hadi usikie sauti ya rim kwenye lami ndio unajua Sasa shughuli imeisha hakuna namna tena
 
Kuna sensor zinazo-regulate movement of some parts au mfumo.

Ikiharibika hiyo sensor mfumo mzima unachanganyikiwa au kufa.

So, sometimes sensor zinaharibika.
Kuharibika kwa sensor ni kutoa incorrect information.

Regulation inafanywa na modules kupitia actuators kulingana na information zilizopokelewa kutoka kwenye sensors.

Unless kama system haina modules hivyo signal ya sensor inaenda kutumika moja kwa moja kwenye regulation (sina uhakika).
 
kama zilikuwa zimebaki 200km, ilitakiwa ipate services. Wapo sahihi kukufanyia service..

Ulitaka uongeze oil mkuu ili iweje ?

Wazee wa toyota wakiona hako ka bei wataongea hapa siku nzima πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hahahaha 🀣🀣🀣 aisee maisha tumetofautiana Sana maana Sisi akina Toyota ni laki moja Tu unamaliza kila kitu kuanzia service Hadi ufundi alafu uzuri wa Toyota huwa napitiliza kufanya service Hadi km 5000 na gari inadunda tu
 
BMW za kuanzia 2006 hazina dipstick mzee.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Wajerumani weusi mpo lkn?
 
Hahahaha 🀣🀣🀣 aisee maisha tumetofautiana Sana maana Sisi akina Toyota ni laki moja Tu unamaliza kila kitu kuanzia service Hadi ufundi alafu uzuri wa Toyota huwa napitiliza kufanya service Hadi km 5000 na gari inadunda tu
πŸ˜„πŸ˜„ Wenyewe wanamwambia ndio mambo ya Germany Engineering hayo πŸ˜„
 
Hahahaha 🀣🀣🀣 aisee maisha tumetofautiana Sana maana Sisi akina Toyota ni laki moja Tu unamaliza kila kitu kuanzia service Hadi ufundi alafu uzuri wa Toyota huwa napitiliza kufanya service Hadi km 5000 na gari inadunda tu
Mimi elf 70 tu,napepea barabarani na vioo nimefunga full kiyoyozi...
 
Hahahaha 🀣🀣🀣 aisee maisha tumetofautiana Sana maana Sisi akina Toyota ni laki moja Tu unamaliza kila kitu kuanzia service Hadi ufundi alafu uzuri wa Toyota huwa napitiliza kufanya service Hadi km 5000 na gari inadunda tu
Hahaha inategemea aisee.. Kuna BMW za 20W 50..na oil unabadilisha mwenyewe..!
 
Hilo group Ni Kama msiba Ni vilio kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…