JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Poa karibu.Nitakutafuta mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa karibu.Nitakutafuta mkuu
Nielezee kidogo kuhusu Mannol. Ushawahi zitumia?Mkuu Mannol zimeingia town. Jamaa wamemnyoosha kuanzia filter mpaka oil. Atlantic Lita moja 15k-20k tu.
Kuna sensor zinazo-regulate movement of some parts au mfumo.Kazi ya sensor ni kutoa taarifa tu. Hakuna kazi nyingine.
Nazungumza kwa muktadha wa magari.
Kwenye gari, Hizo taarifa zinapewa modules then modules ndio zinaleta message kwenye dashboard. mfano low tyre pressure, low coolant, low oil level, service engine soon, n.k. Wenye hayo magari wapo kwenye huu uzi waseme kama magari yao hayawapi hizo taarifa.
Taarifa zingine haziji kwa mtumiaji module inafanya decision yenyewe. Mfano gari imeua kifaa fulani, Module inaengage limp mode. Gari inakuwa haina nguvu mpaka urekebishe kifaa kilichozingua.
Sijui wewe unazungumzia sensor zipi?
Huwa sio utaratibu kabisa,BMW inataka preventive maintanance, ikichomwa na msumari unabadili matairi yasije yakagoma kwenda maana kuna sensor maalum ya kuzuia hub isizunguke kama tyre lina pancha au limekata uzi.Ana taka akwepe jukumu [emoji81][emoji81]BMW waka sema hapana hatuendi ivyo
Huwa sio utaratibu kabisa,BMW inataka preventive maintanance, ikichomwa na msumari unabadili matairi yasije yakagoma kwenda maana kuna sensor maalum ya kuzuia hub isizunguke kama tyre lina pancha au limekata uzi.
Hivyo hivyo kwenye oil ikiwasha taa unaweka oil mpya hata kama ulibadili asubuhi. Weka ingine ile ya asubuhi sio orijino.
🤣Mkuu Mannol zimeingia town. Jamaa wamemnyoosha kuanzia filter mpaka oil. Atlantic Lita moja 15k-20k tu.
Nzuri sana ndio natumia. Direct from Germany.Nielezee kidogo kuhusu Mannol. Ushawahi zitumia?
Ipo fresh? Wapi wanaziuza?
Ila we jamaa huwa unanifurahisha sana, Nadhani hii yote ni kwasababu una li-Toyota lako ambalo likipata slow pancha unaweza ukapiga misele wiki nzima kama hakijatokea kitu na kwenye Dashboard haikuoneshi, hadi usikie sauti ya rim kwenye lami ndio unajua Sasa shughuli imeisha hakuna namna tenaHuwa sio utaratibu kabisa,BMW inataka preventive maintanance, ikichomwa na msumari unabadili matairi yasije yakagoma kwenda maana kuna sensor maalum ya kuzuia hub isizunguke kama tyre lina pancha au limekata uzi.
Hivyo hivyo kwenye oil ikiwasha taa unaweka oil mpya hata kama ulibadili asubuhi. Weka ingine ile ya asubuhi sio orijino.
Kuharibika kwa sensor ni kutoa incorrect information.Kuna sensor zinazo-regulate movement of some parts au mfumo.
Ikiharibika hiyo sensor mfumo mzima unachanganyikiwa au kufa.
So, sometimes sensor zinaharibika.
Na engine ikianza leakages toa engine yote funga mpya.Bulb ikiungua badili taa nzima[emoji23][emoji23]
Hahahaha 🤣🤣🤣 aisee maisha tumetofautiana Sana maana Sisi akina Toyota ni laki moja Tu unamaliza kila kitu kuanzia service Hadi ufundi alafu uzuri wa Toyota huwa napitiliza kufanya service Hadi km 5000 na gari inadunda tukama zilikuwa zimebaki 200km, ilitakiwa ipate services. Wapo sahihi kukufanyia service..
Ulitaka uongeze oil mkuu ili iweje ?
Wazee wa toyota wakiona hako ka bei wataongea hapa siku nzima 😅😅😅😅
BMW za kuanzia 2006 hazina dipstick mzee.Ndio maana mnaua Magari bila kujijua. Gari zinawaka Moto kwa makosa madogo tu unawz kuta Bonnet cover imesogea au imeachia je utajua ktk Dashboard? Je deep stick imepanda juu na kuruhus Oil kuvuja na kufata exhaust pipe utajua? Unajua madhara yake?.. Gari kila siku ikague na kama muda upo Pima/hakikisha bolt za matairi zimekazwa vzr at least kila baada ya wiki unafanya Uhakiki
😄😄😄 Wajerumani weusi mpo lkn?Google Atlantic ipo Mikocheni Coca-cola karibu na GSM iliyoungua, halafu Rudi hapa uniambie kama ni wa mtaani, Picha linaanza nilivyoenda kwa mara ya kwanza nimekabidhi funguo reception naona mzungu ndio anakabidhiwa funguo akaishughulikie gari maana ndio ilikuwa imetua Bongo
Niliacha milion 1 na laki 2 kuchekiwa tu Kila Kitu kama Kiko sawa na vilivyo badilishwa ni oil filter na Air filter basi
😄😄 Wenyewe wanamwambia ndio mambo ya Germany Engineering hayo 😄Hahahaha 🤣🤣🤣 aisee maisha tumetofautiana Sana maana Sisi akina Toyota ni laki moja Tu unamaliza kila kitu kuanzia service Hadi ufundi alafu uzuri wa Toyota huwa napitiliza kufanya service Hadi km 5000 na gari inadunda tu
Mimi elf 70 tu,napepea barabarani na vioo nimefunga full kiyoyozi...Hahahaha 🤣🤣🤣 aisee maisha tumetofautiana Sana maana Sisi akina Toyota ni laki moja Tu unamaliza kila kitu kuanzia service Hadi ufundi alafu uzuri wa Toyota huwa napitiliza kufanya service Hadi km 5000 na gari inadunda tu
Hahaha inategemea aisee.. Kuna BMW za 20W 50..na oil unabadilisha mwenyewe..!Hahahaha 🤣🤣🤣 aisee maisha tumetofautiana Sana maana Sisi akina Toyota ni laki moja Tu unamaliza kila kitu kuanzia service Hadi ufundi alafu uzuri wa Toyota huwa napitiliza kufanya service Hadi km 5000 na gari inadunda tu
Hilo group Ni Kama msiba Ni vilio kwa kwenda mbeleOBD II Scanner ni kale kamashine ka kukuambia matatizo mbalimbali ya gari ata kabla taa ya njano haijawaka kwenye dashboard yako.
Unaweza ukanunua au ukawa unaenda kupima.
Kwa kuanza nakushauri anza kwenda kupima kwa mtu mfano JituMirabaMinne anakupa full report. Maana inakupa summary sana.
Kuhusu namba 4, nakutumia namba za admins inbox.
View attachment 2453685
Kwani sisi za kwetu tunapikia?Kazi ya sensor ni kutoa taarifa tu. Hakuna kazi nyingine.
Kila post ni tatizo.Hilo group Ni Kama msiba Ni vilio kwa kwenda mbele