Ushauri namna ya kufanya Service BMW X3

Ushauri namna ya kufanya Service BMW X3

Hii huwa ni maneno ya kibiashara tu hayo...

Mimi natumia Liqui Moly na namwaga oil wastani wa km 3000, lakini huwa nakuta oil ni chafu na imepungua sana tu...
Takwimu za TBS mwaka Jana zilionesha kuwa 90% ya oil filter nchini ni fake...sababisho kubwa ya oil kuchoka ndani ya km 3000 inachangia na hii pia na Hali ya hewa hasa DAR ni joto la hatari inachangia Sana oil kupoteza ubora
 
Sasa Bimmer hazina Dipstick unavyosema tucheki oil mara kwa mara ndio nashindwa kuelewa


Fata procedures za kwenye hiyo video kuangalia Oil level ya BMW yako.

Kitu kimoja ambacho kwenye video hakijaongelewa. Ukishaongeza lita moja ya Oil at a time kama walivyoongea kwenye video endesha gari kidogo ndio urudie kupima.

Ukiongeza tu Oil halafu ukarudia kupima hutopata majibu. Maana ifakuonesha hakuna kilichoongezeka.
 
Yaani mfano E90 au F30 uweke Total aisee utaimba nyimbo zote.
Kuna vitu viwili nahisi..
1. Wawekaji wanakosea specifications za oil..
2. Total Oil zinazotumika ni Shivo sio OG..!

Total oil zimekuwa refined na zinameet requirements za BMW..!
BMW LL-01 gari za post 2002
BMW LL-04 gari za pre 2002
_20221222_124844.JPG
 
Kuna vitu viwili nahisi..
1. Wawekaji wanakosea specifications za oil..
2. Total Oil zinazotumika ni Shivo sio OG..!

Total oil zimekuwa refined na zinameet requirements za BMW..!
BMW LL-01 gari za post 2002
BMW LL-04 gari za pre 2002View attachment 2454476
Hii kweli ipo vizuri. Naona ni C3, ambazo ni low ash engine oils. Inafaa sana kwa magari ya diesel Euro 5 na kuendelea, yenye dpf.
 
Back
Top Bottom