Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Inapungua kiasi cha kawaida au hadi inakuwashia warning light?
Haiwashi taa, huwa inashuka...
Muhimu ukiwa dereva vitu kama oil, coolant unakuwa unacheck mara kwa mara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapungua kiasi cha kawaida au hadi inakuwashia warning light?
Takwimu za TBS mwaka Jana zilionesha kuwa 90% ya oil filter nchini ni fake...sababisho kubwa ya oil kuchoka ndani ya km 3000 inachangia na hii pia na Hali ya hewa hasa DAR ni joto la hatari inachangia Sana oil kupoteza uboraHii huwa ni maneno ya kibiashara tu hayo...
Mimi natumia Liqui Moly na namwaga oil wastani wa km 3000, lakini huwa nakuta oil ni chafu na imepungua sana tu...
Kwenye sayansi inaweza ikawezekana.Ni swala la muda tu, I hope mjerumani atafanya improvement kwenye Sensor kutambua hatari zijazo kabla hazijatokea
Kuna njia nyingine tofauti na kucheki oil kwa dipstick?
Tutakuexpose mjapani kuingilia fursa yetu wajerumani.Hizo gari zimefanywa kama kitu cha ajabu sana kwa wamiliki kiasi kwamba wanapigwa sana kwenye maintanance. Hio fursa iko siku ntaitumia.
Sasa Bimmer hazina Dipstick unavyosema tucheki oil mara kwa mara ndio nashindwa kuelewa
Sasa Bimmer hazina Dipstick unavyosema tucheki oil mara kwa mara ndio nashindwa kuelewa
Msaada hii inasababishwa na nini?
Nilishangaa kabla ya kuwasha break ilikuwa loose! Nikapump ikajaa, nilipowasha ndiyo hiyo haikuzima. Kujaribu kukata kushoto ikawa ngumu. Kama kawaida sikulazimisha nikarejesha kwenye nyumba yake. Nini kifanyike?Unadaiwa Service ya mfumo wa AWD. Sijui sasa kama ni Oil ya diff au lah!
Yaani mfano E90 au F30 uweke Total aisee utaimba nyimbo zote.Hahaha kwa hiyo hizo ambazo hazina Oil Dipstick zinachagua oil
Magari mengi sahivi unapima kwa kubonyeza bonyeza tu kwenye dashboard.Kuna njia nyingine tofauti na kucheki oil kwa dipstick?
Nakukubali unavouliza maswali. Haujitii mjuaji kabisa. Bravo Man.Sasa Bimmer hazina Dipstick unavyosema tucheki oil mara kwa mara ndio nashindwa kuelewa
Kuna vitu viwili nahisi..Yaani mfano E90 au F30 uweke Total aisee utaimba nyimbo zote.
Hii kweli ipo vizuri. Naona ni C3, ambazo ni low ash engine oils. Inafaa sana kwa magari ya diesel Euro 5 na kuendelea, yenye dpf.Kuna vitu viwili nahisi..
1. Wawekaji wanakosea specifications za oil..
2. Total Oil zinazotumika ni Shivo sio OG..!
Total oil zimekuwa refined na zinameet requirements za BMW..!
BMW LL-01 gari za post 2002
BMW LL-04 gari za pre 2002View attachment 2454476
Achana na BOT.. Uwe na akili ya kuijua gari yako..!Ili uweze kumudu gari za Kijerumani vizuri unatakiwa uwe mtumishi wa BOT