Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Hilo ni jambo guru sana, your the source of problem as well as the solution, kwanza sikiliza moyo wako nini unakwambia,
Pili mshirikishe Mungu akure hekima ya kufanya maamuzi sahihi
Tatu amini wewe mwenyewe ndio chanzo cha furaha yako, unaweza kukopa pesa ila huwezi kukopa furaha
Nne wapo wanaume/wanawake wanajua kucheza na akiki/moyo wa mtu, akifanikiwa kupandikiza viyella vyake kwako inakuwa ngumu ku move on, hivyo jitafakari wapi umekosea, tulia,jipe muda na utashinda, hakuna guru chini ya jua
 
AsanteπŸ™
 
Sasa kama yupo stressed sii ndio anatakiwa apate de libolo kupunguza hizo stresss....yeye arudi kwa jamaa apewe utamu kwanza kupuza moyo.
Weee unamdanganya labda apate marafiki waelewaaa kwanzaa
 
Mbona unamsigina mwana mzee .....? Wanaume hatupo hivo. Muacheni mwana aendelee kujilambia kibuyu cha asali acheni roho mbaya.....Man up
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€Oyaa nilijua ni pisi inamsumbua mwana...nimekosa mimi nimekosaa sanaaa. Huyo jamaa anampenda sana huyu dada ila dada ndo anashindwa kuelewa tu jamani
 
Kwamba hakunaga urafiki wa kawaida wa mwanaume na mwanamke!!???!!!😁😁
Hakuna bwana. Na ata kama upo ni one in a billion.
Besides huyu ndio atakuwa na marafiki lakini hao marafiki usiku wapo kwao. Mrembo anahitaji tulizonla moyo na mbususu kukunwa. Kuitwa bby, kuambiwa wee mzuri. Kumnyegesha mpenziwe akiwa amevaa khanga moko. Kumpika kidume na kuona mwanaume akimuonea wivu, akitaka kumilikiwa na kidume ndio anachotaka na sio rafiki. She probably already has those so called marafiki
 
Nanyie huwa mnaona wivu kwani??😳😳😳 Heeehh nilikua sijuii!!
 
Nanyie huwa mnaona wivu kwani??😳😳😳 Heeehh nilikua sijuii!!
Tungekuwa hatuoni wivu tusingepiga wanawake wala kulia pale mbususu ya demu wako inasasambuliwa na mwanaume mwengine
 
Tungekuwa hatuoni wivu tusingepiga wanawake wala kulia pale mbususu ya demu wako inasasambuliwa na mwanaume mwengine
Wee Sema kweli???[emoji6][emoji6][emoji42] mi najuaga nyie ma nunda!!
 
Ila madam hujaweka hata tafsida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimetamka kama anavotaka mzabzab[emoji16]
 
Comment km hizi ni kumtafutia comfort lakini ukweli anaujua, kaachana na boyfriend wakati umri umeenda, so the odds of her not being a loser are against her.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…