Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
Hilo ni jambo guru sana, your the source of problem as well as the solution, kwanza sikiliza moyo wako nini unakwambia,
Pili mshirikishe Mungu akure hekima ya kufanya maamuzi sahihi
Tatu amini wewe mwenyewe ndio chanzo cha furaha yako, unaweza kukopa pesa ila huwezi kukopa furaha
Nne wapo wanaume/wanawake wanajua kucheza na akiki/moyo wa mtu, akifanikiwa kupandikiza viyella vyake kwako inakuwa ngumu ku move on, hivyo jitafakari wapi umekosea, tulia,jipe muda na utashinda, hakuna guru chini ya jua
 
Asante🙏

Sasa kama yupo stressed sii ndio anatakiwa apate de libolo kupunguza hizo stresss....yeye arudi kwa jamaa apewe utamu kwanza kupuza moyo.
Weee unamdanganya labda apate marafiki waelewaaa kwanzaa
 
Mbona unamsigina mwana mzee .....? Wanaume hatupo hivo. Muacheni mwana aendelee kujilambia kibuyu cha asali acheni roho mbaya.....Man up
😀 😀 😀 😀Oyaa nilijua ni pisi inamsumbua mwana...nimekosa mimi nimekosaa sanaaa. Huyo jamaa anampenda sana huyu dada ila dada ndo anashindwa kuelewa tu jamani
 
Kwamba hakunaga urafiki wa kawaida wa mwanaume na mwanamke!!???!!!😁😁
Hakuna bwana. Na ata kama upo ni one in a billion.
Besides huyu ndio atakuwa na marafiki lakini hao marafiki usiku wapo kwao. Mrembo anahitaji tulizonla moyo na mbususu kukunwa. Kuitwa bby, kuambiwa wee mzuri. Kumnyegesha mpenziwe akiwa amevaa khanga moko. Kumpika kidume na kuona mwanaume akimuonea wivu, akitaka kumilikiwa na kidume ndio anachotaka na sio rafiki. She probably already has those so called marafiki
 
Nanyie huwa mnaona wivu kwani??😳😳😳 Heeehh nilikua sijuii!!
 
Ila madam hujaweka hata tafsida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimetamka kama anavotaka mzabzab[emoji16]
 
Shida ipo kwako Shangazi yangu. Maandiko yanasema

Mithali 29:11 SRUV
Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza.

Kuwa mwenye hekima shangazi yangu. Usi ji stress shangazi kwa sababu ya external force. Upo mzuri una akili why Aunt una fail jamanj
Comment km hizi ni kumtafutia comfort lakini ukweli anaujua, kaachana na boyfriend wakati umri umeenda, so the odds of her not being a loser are against her.
 
Back
Top Bottom