Ngoja nisikusumbue upike vizuri usije ukaunguza mimi ndio nikawa source π€£Hajambo kabisa na watoto pia hawajambo! Naenda kupikaπΆπΌββοΈππππππ Jioni njema!
mbinu pkee na utatuzi wa hili ni ww kuwa na mimi hv sasa.Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.
Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.
Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
umeandika kwa hasira sana ticha.ππEx wako na familia yao wanakutengenezea mazingira ya kuja kuolewa bi mdogo.
Tena inaonekana wewe ni mwanamke unayejiweza kiuchumi ndio maana hawataki kukuacha uende. Eti anasema akikwama atakucheki, mjinga kweli anakuona wewe buzi lake.
Move on dear, block takataka zote fanya maisha yako.
Hiki kicheko kinaashiria unadhani natania.πππ
Nimepatikana round hiiSafi sana umepata kiboko yako?
Akazeee akukomesheNimepatikana round hii
hahahaha,ongeza speed ule mzigoπ€£π€£π€£π€£π€£ kha! Miaka mitatu jamaa anajilia mbususu tuu wakati sie wakina mzabzab tukitongoza tunaambulia vibuti.
Kweli amechezea bahatiKabisa yaani nikiwaza nilivokuwa naitunza Hadi miez 6 akaigegede ikiwa safi nguvu zinaniisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumpata mpenzi wa kweli ni shughuli sana wanafichwa kwa pattern ngumu sana.[emoji23]
Ni kweli me nimepumzika kidogo sitaki stress kwa sasaKabisa lakin maisha lazima yaendelee
π€£π€£π€£π€£π€£ Dah jamaa alikuwa anaikuta kitu mnatoπ€£π€£π€£π€£Kabisa yaani nikiwaza nilivokuwa naitunza Hadi miez 6 akaigegede ikiwa safi nguvu zinaniishaπ€£π€£π€£π€£π€£
Kaka huko pm ninabembeleza mpaka nauli nimetuma lakini dah, kisicho riziki hakiliki mkuuhahahaha,ongeza speed ule mzigo
Yaani natuma laki unusu yakutolea sii ipo humo humo mremboUliweka na ya kutolea lkn