Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Hajambo kabisa na watoto pia hawajambo! Naenda kupika๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹ Jioni njema!
Ngoja nisikusumbue upike vizuri usije ukaunguza mimi ndio nikawa source ๐Ÿคฃ
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
mbinu pkee na utatuzi wa hili ni ww kuwa na mimi hv sasa.
 
Ex wako na familia yao wanakutengenezea mazingira ya kuja kuolewa bi mdogo.

Tena inaonekana wewe ni mwanamke unayejiweza kiuchumi ndio maana hawataki kukuacha uende. Eti anasema akikwama atakucheki, mjinga kweli anakuona wewe buzi lake.

Move on dear, block takataka zote fanya maisha yako.
umeandika kwa hasira sana ticha.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kabisa yaani nikiwaza nilivokuwa naitunza Hadi miez 6 akaigegede ikiwa safi nguvu zinaniisha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Dah jamaa alikuwa anaikuta kitu mnato๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom