Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

😂😂😂Umeanza
Sio nimeanza wee ulikiwa unaleta utoto. Raha ga mapenzi ni kunyanduana. Sasa wee kila leo unataka story za on bby umevaa chupi gani, oh mara sijui nipige video call nione matiti hayo. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
miaka mitatu umevumilia tu,mtu wa kuoa ikizidi hua miezi sita tu.
 
Pole mapenzi ndo yalivyo hayako straight until u get a straight person. Cha kufanya usipokee namba ngeni
 
Umeona eee nacheka comments zako. Nimeshampa hapo ushauri asipokee namba ngeni,kama mtu ana shida atamtext
Lakini huoni kuwa mrembo bado anamkubali jamaa....alafu yupo lonely na sii unajua tena mgegedo muhimu
 
Mimi siwez kuswampa aisee Yani kama ndoa yeye ndo alikuwa ananichelewesha na ujinga wangu mwenyew kujifanya navumilia visivovumilika ofcourse siwez muhonga mpenzi kabisa maybe kumsaidia vitu vya kawaida sio et laki 5 laki 6 labda Kwa mumewangu otherwise siwez
Hivyo vya kawaida ndio vina maana kuliko hata hizo laki 5 au 6! Kama unaweza vya kawaida ina maana ukiwa na uwezo wa laki 5 au 6 utaweza pia. Huwa tunaangalia mambo ya kawaida sana ili kumjua nani mtu nani sio mtu.
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hivi na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na ex wake na mwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizuri zaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivyo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapenda sana yeye familia yake na hata mtoto wake na nilikuwa nawaona kama ndugu zangu kabisa lakini baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakini atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu

Ndugu zake Bado wananitafuta mara hivi mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakati. Mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habari zao kabisa.
Nyege znawasumbua tafuta mahala upunguze hyo kitu laa sivyo atakutesa huyo kakuacha na bado anakusumbua
 
Back
Top Bottom