Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Umeanza
Sio nimeanza wee ulikiwa unaleta utoto. Raha ga mapenzi ni kunyanduana. Sasa wee kila leo unataka story za on bby umevaa chupi gani, oh mara sijui nipige video call nione matiti hayo. 🀣🀣🀣🀣🀣
 
miaka mitatu umevumilia tu,mtu wa kuoa ikizidi hua miezi sita tu.
 
Pole mapenzi ndo yalivyo hayako straight until u get a straight person. Cha kufanya usipokee namba ngeni
 
Umeona eee nacheka comments zako. Nimeshampa hapo ushauri asipokee namba ngeni,kama mtu ana shida atamtext
Lakini huoni kuwa mrembo bado anamkubali jamaa....alafu yupo lonely na sii unajua tena mgegedo muhimu
 
Lakini huoni kuwa mrembo bado anamkubali jamaa....alafu yupo lonely na sii unajua tena mgegedo muhimu
Mgegedo muhimu ila sio lazima hasa kwetu wadada tunaweza piga mwaka bila shida
 
Hivyo vya kawaida ndio vina maana kuliko hata hizo laki 5 au 6! Kama unaweza vya kawaida ina maana ukiwa na uwezo wa laki 5 au 6 utaweza pia. Huwa tunaangalia mambo ya kawaida sana ili kumjua nani mtu nani sio mtu.
 
Nyege znawasumbua tafuta mahala upunguze hyo kitu laa sivyo atakutesa huyo kakuacha na bado anakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…